Another relationship saga! YAWNS!!!!!!!!!!:A S 13::A S 13::A S 13::A S 13:
Ningekuwa wewe wala nisingejihangaisha na kwenda kumuwinda. Ningefuata mtima wangu. Piga siu wknd hapokei, na mie jumatatu akinipigia ndo imetoka hiyo. Sipokei na sina aelezo marefu. Akianza kukusaka na kuja muambie nilikuwa serious kuhusu kutopokea simu.
Angalia hii....utaenda kesho. Kumbe huyo jamaa yake coincidentally amesafiri ama ana ugeni kwake. Usipomkuta utasimangwa wewena kulazimishwa kumuamini maisha yako yote. Lakini kwa sababu ushapoteza imani, mtaoana na siku umesafiri wewe na simu hazipokelewi utaugua maradhi ya moyo.
Maneno hayabadilisha tabia,fanya vitendo. Hata kama anakucheat lazma awe na adabu na awaambie mabasha wake kuna mwenye mali (nilisoma mahali UNATAKA UMLE PEKE YAKO, KWANI SUMU HIYO?)

Habari wana JF.
Ninamchumba wangu anafanya kazi mkoani na nipo daslam. Nampenda sana na tumekuwa kwenye mahusiano miezi kadhaa. Amekuwa na tatizo kubwa la kutopokea simu yangu hasa wakati wa weekend usiku na mbaya zaidi kama ni jpili atanipigia akishafika ofcn. Nimejaribu kumuonya several time but she is still doing the same.
Kadiri siku zinavyo zidi kusogea naona long distance relationship itanishinda. Naomba ushauri what can i do with her.
Nawasilisha.
Mapenzi ya mbali yana shida yake. Muda mwingi unakuwa mtu wa kuwaza kuibiwa. Fanya uchunguzi wa kina kisha fanya taratibu za kuoa ili ummiliki chako mapema kabla wajanja hawajakuzidi kete.
Kumbe siku hizi unapiga cha Arusha aka majany ??! Pole sanadah! Ulikuwa kwenye akili yangu? Au bangi nlyovuta ndo nawe umevuta?
Thanks! Ila sihitaji kugombana nae nataka nikae mpaja jtatu asubuhi na nitakuwa nae the whole weekend nisome mazingira yake. I am sure kama kunakitu nitajua. Especially mawasiliano. I dont mean kukagua simu yake but simu zitakazo ingia tukiwa wote etc. Nikigundua kitu jtatu asubuhi nikiondoka hanioni tena!
Wanawake wako smart sana kuliko sisi.unaweza ukafika pale ghafla, na usipate ushahidi.Thanks! Ila sihitaji kugombana nae nataka nikae mpaja jtatu asubuhi na nitakuwa nae the whole weekend nisome mazingira yake. I am sure kama kunakitu nitajua. Especially mawasiliano. I dont mean kukagua simu yake but simu zitakazo ingia tukiwa wote etc. Nikigundua kitu jtatu asubuhi nikiondoka hanioni tena!
Huna sababu ya kumuonya kwa kuwa haujafunga naye ndoa.
Fanya ziara ya ghafla nyumbani kwake.
Utakachokikuta, usigombane, furahi kwa kujua ukweli na rejea kwenye foleni zetu za dar.
Unajua jambo la mapenzi ni gumu na mapenzini huwa kuna drama tofauti. Sasa wewe upo unaumia roho na utazidi umia.
Sasa kwanini usiende huko bila kumwambia kaa hotelini na mcheki hata ukikaa nje mahali mtaani ukampa mtu pesa ndogo watanyamaza na utaweza jua mienendo yake.
Najua ni usumbufu ila kwa wewe itakusaidia sana esp ni mtu wa mbali umjue huyo mchumba wako, kwa sasa kila mtu atasema unahisi as hauna proof. Nae atakuruka maili mia.
Bora umchungzue ujue unapeleka nini kwenu asije akakutia aibu kuendelea kulala na men ndoani. Au kukuletea magonjwa.
Ila mmhh mwanamke anaempenda mwanaume weee achezei dume lake atamuheshimu na hata kujisahau kimapenzi. Sasa huyu simu hapokei na wala harudishi duh kweli kuna jambo. Akitongozwa huko anakuacha labda wewe ni spea tairi lake.
Pole usimuonyeshe umeoza hivyooooo, ila why na wewe usipunguze kumpigia pigia?
I am on the process kwenda kujitambulisha na wazazi wake wamesha ambia they know soon watapata wageni