Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,786
- 35,766
Unampa elfu 50 huna ndugu wenye uhitaji? Hii pesa kwann usingewapa hata wadogo zako wakafurahi walau siku moja?Issue sio kubembeleza. Anajua sana anachokifanya. Nimebembeleza sana.....tena sana. Nikamchukua mpaka beach tukapunge upepo.....nikamwaga madini kule. Jioni yake nikampa dinner kali mno aliyotaka nimchagulie mimi na alikula vizuri na kushiba. Nikamdrop kwao....siku hiyo sikuwa njema sana mfukoni nikampa 50k Tsh nikamkiss kwenye paji naye akanikiss shavuni. Halafu drama bado zinaendelea....nikahisi ana mapepo