"I think I need you"

"I think I need you"

Na thread ikaandikwa aliesema mapenz uchiz hakukosea
 
hujui kubembeleza wewe.
Issue sio kubembeleza. Anajua sana anachokifanya. Nimebembeleza sana.....tena sana. Nikamchukua mpaka beach tukapunge upepo.....nikamwaga madini kule. Jioni yake nikampa dinner kali mno aliyotaka nimchagulie mimi na alikula vizuri na kushiba. Nikamdrop kwao....siku hiyo sikuwa njema sana mfukoni nikampa 50k Tsh nikamkiss kwenye paji naye akanikiss shavuni. Halafu drama bado zinaendelea....nikahisi ana mapepo
 
Pole
 
Miaka 23 kichwa lazima kikuwake moto hapo
Issue sio kubembeleza. Anajua sana anachokifanya. Nimebembeleza sana.....tena sana. Nikamchukua mpaka beach tukapunge upepo.....nikamwaga madini kule. Jioni yake nikampa dinner kali mno aliyotaka nimchagulie mimi na alikula vizuri na kushiba. Nikamdrop kwao....siku hiyo sikuwa njema sana mfukoni nikampa 50k Tsh nikamkiss kwenye paji naye akanikiss shavuni. Halafu drama bado zinaendelea....nikahisi ana mapepo
 
Fatuma ,waga wanakiburi hao usiombe
 
Back
Top Bottom