I swear am Separating with Someone Today

I swear am Separating with Someone Today

Usifanye maamuzi ya haraka kiasi hicho kila mtu ana namna yake ya kuonyesha mapenzi,huenda yeye style yake haitegemei buying you gifts on a valentine day.
 
wewe ndio mwenye mapenzi ya uongo, jisemee mwenyewe otherwise leta data hapa
teh teh nilijua tu mapovu lazima yakutiririke.....ukweli lazima usemwe hata kama unakuuma. Have a nyce n lovly lunch eeeh
 
ey why dont u call him, text him and wish him and later on take him out? dont be a looser expecting things...expectations is far different from reality..watu wengine hawana time issue hzi za valentino
segajob, pass through this quote briefly.. swali je umemtumia sms, maua?? umempigia simu?? umemfanyia nini wewe segajob??
 
It is valentine, and this guy has not called to wish me a happy day and neither has he told me anything about taking me out after work. I feel so left out, No flowers and really annoyed and if nothing good happens later in the day am leaving him. I swear.
This is a private business. Hayatuhusu.
 
Whoa! U never loved him to start with, juz go out there n u ll get some burger to take u out, bang u n damp u in the morning.
 
Kwani lazima yeye akupe hayo mawish, maua au akutoe, acha akili mgando hata wewe unaweza kuanza kumuwish, mpelekee maua au mtoe out. ALAAAAAAA
 
Don't be a receiver...sometimes try to be a Giver,try not to expect too much!
 
hata ningekuwa mimi ningempiga chini hata sms jamani
Na wewe acha ubinafsi, mapenzi siyo one side game hata yeye anapaswa kumtumia sms aone kama mwenzake atakaa kimya bila kureply, mimi nina mapenzi siku zote kwahiyo Valentines day nothing special to me, Watanzania wengi wanapaswa kusherehekea kwa kishindo April Fool maana ndiyo sikukuu inayowahusu hasa.
 
kazi ya mpenzi wangu ni kunifurahisha haijalishi ni kwa madogo au mazuri.hicho kibarua kikimshinda ndo hivo tena biashara lazima ikwishe nae.yaani hata gmoning nisipewe ,kwanini moyo wangu unune ?akuuu
 
hata ningekuwa mimi ningempiga chini hata sms jamani

Sms haionyeshi mapenzi smile wanaume kama mimi tunapenda surprise inafika saa 1 au 12 jioni nakujia nimebeba pamba za nguvu nakupeleka usipopajua then ukifika unastaajabu ugunduzi wangu speedo mapenzi inapanda hadi mwisho. Note that; ni nzuri zaidi kwa wenye ndoa. Kabla ya hivi visimu mapenzi yalikuwa matamu sana yaani nikikumbuka natamani vingetoweka.
 
Dada mapenzi si utumwa, kama hajakutafuta wala kututext wewe nawe unaweaza kufanya kama unavyotaka yeye akufanyie kwa imeandikwa wapi kuwa mpenzi wa kiume ndiye mwenye jukumu la kufanya hivyo?? Angalia huwenda amechoka kukutafuta kila siku bila wewe kumtafuta, usipokua makini atamtafuta ambaye anatambua kuwa mapenzi ni kutumikiana na siyo kutumika kama mtumwa.
 
Atakuwa busy anabishana mechi ya manchester ya jana,,,

Chezea wanaume wa kibongo!

Mkumbushe wewe la sivyo mtoko na zawadi utazisikia kwa wenzako
 
kazi ya mpenzi wangu ni kunifurahisha haijalishi ni kwa madogo au mazuri.hicho kibarua kikimshinda ndo hivo tena biashara lazima ikwishe nae.yaani hata gmoning nisipewe ,kwanini moyo wangu unune ?akuuu
Ndio maana mapepo huwapata wanawake tu!? maana makanisa yote ya upako wanaotolewa mapepo na kudondoka hovyo ni wanawake, naconnect dots zangu kwangu kwanza.
 
Dont panic dadaa,u never know maybe he has a good supraiz for u in the evening!so just wait for a while then u have 2 take an action!
 
''desperate woman'' hakuna mwanaume anapenda hiyo type ya mwanamke
 
Back
Top Bottom