Naomba Wakristo wanielimishe: kwa nini unaona ukiwa Mkristo una wajibu wa kuisapoti Israeli? Waisraeli ni Jews ambao mnasema ndio waliomwua Yesu, mungu wenu, au mtoto wa mungu wenu. Sasa inakuwaje mnawapenda watu hawa? It does not make sense to me. Could someone educate me?
I support Israel and not those cowards who are using children and women as shield.Tunachotakiwa kupigania si udini UWE Muslim, Uwe christian tunachokitaka ni UBINADAMUU....
Mimi sipendelei Japo ni Muslim lkn Nina Baadhi ya ndugu zangu Uncles, Babu Christians nawapenda pia singependa wapigane...Pia Wapenzi tunapata wengine Christians / Muslims tuishi kwa amani. Americans ndio wachokozi Believe or NOT ktk mataifa mengi. Viongozi wengi wa nchi zilizo endelea, ni devils amini usiamini...Wanaamini dini ya Shetani wanataka woote twende huko...
View attachment 177617
Kama unamjua Kristo kweli utapinga udhalimu unaofanywa na Waisrael dhidi ya Wapalestina, binadamu tuna hulka ya unafiki na ubinafsi. Mwenyezi Mungu atusaidie
Nope, non theist who denies God is a source of evil.
Haswaaaaa, upande wa TAIFA LA MUNGU.kwa hiyo wewe upo upande wa israel kwa sababu waislam wapo upande wa waarabu. we jamaa mjinga sana
Mungu akubariki kwa post hii..
Psalm 122:6 Pray for the peace of Jerusalem: "May those who love you be secure.
I am a black Jew according to Jesus' blood covenant and I support Israel.
Nani aliambiwa kusali kwa amani ya Israel na what were the circumstances then?
Mafarakano ya israel na palestina yataleta mpasuko mkubwa wa kidini duniani.
Huu ni MsibaKama unamjua Kristo kweli utapinga udhalimu unaofanywa na Waisrael dhidi ya Wapalestina, binadamu tuna hulka ya unafiki na ubinafsi. Mwenyezi Mungu atusaidie
Inspectors from Oz Unit (the immigration authority) arrest a mother moments after she brought her daughter to the kindergarten in Hatikva neighborhood in Tel Aviv. After her arrest they went to the kindergarten and arrested the girl as well. The mother and her child did not have the option to go and fetch their belongings or to say goodbye to friends and family. (photo by: Oren Ziv/ Activestills.org)
Bado wapendeni Wa-Israil wana wanyanyasa Watu Weusi huko kwao.
source; A year in review: Anti-African racism and asylum seekers in Israel | +972 Magazine
Psalm 122:6 Pray for the peace of Jerusalem: "May those who love you be secure.
I am a black Jew according to Jesus' blood covenant and I support Israel.
Kilimanjaro (Tanzania) stands with ISRAEL. The peak of Africa, its people and its land, loves ISRAEL.