I stand with Israel

Kwahiyo unadhani kuwa waisrael ni wakristo??!!

Nop sijamaanisha kitu kama hicho but wengi wa wakristo wanaamini hii ---- ya kwamba ni taifa teule!! datz it., Nadhani umenielewa now.
 


Hivi msingi wa ugomvi wa israeli na palestina ni dini au kukaliwa kwa aridhi ya watu?

Labda uelewe hivi dini ni mpango wa mwanadamu kumtafuta Mungu,lakini wokovu ni mpango wa Mungu kumuokoa mwanadamu aliyeangushwa na dhambi, kwa wakristo kupitia Yesu.

Kimsingi vurugu si mafundisho ya dini,lakini ile hali ya asili ya binaadam kujiona yu bora zaidi me naona ndo inayotuleta apa.

Sijui kama kunamafundisho ya chuki lakini nadhani kuna tatizo katika mapokeo ya mafundisho haya muda mwingine hata wafundishaji nao wangine hawako poa sana.

Lakin pia kila dini ina misingi yake,sasa inapotokea dini inaanza ktk misingi ya hovyoo utegemei kuona haya mkuu? Muda mwingine misingi inaaribiwa kweny safari.

Muda mwingine tuone kwanza uhalali wa hizo dini katika kazi za kumtafuta au kumtukuza Mungu kwanza ,kabla ya kugeneralize kwa kusema dini zina leta fujo.

Ukipata dini ambayo ni kwwli inataka kumuona Mungu sidhani kama inaweza fundisha chuki!
 
Last edited by a moderator:
I stand with Israel. Well, look at that! Gaza ‘corpses’ caught moving when they don’t know the cameras are on them



<header class="entry-header" style="color: rgb(102, 102, 102); font-family: 'Lucida Grande', Arial, 'Lucida Sans Unicode', sans-serif; line-height: 19.5px; background-color: rgb(239, 239, 239);"></header>
 
Tunatakiwa Tuombe amani iwe kwao, Tuache kusimama kwaajili ya DINI...Tukisimama kwaajili ya dini kila dini itajiona Bora zaidi kuliko nyingine wakati tunayemuabudu ni MUNGU huyu mmoja ni majina tuu yameitwa tofauti...Hakuna dini iliyoamrisha kuua mwingine, kutesa wengine nk. Kila dini imearisha kutenda mema, kupenda AMANI...So tuungane dini zote tuombee amani...Tuache tofauti..Wewe unayesima kwaajili ya dini fulani Fikiria hata katika familia yako nahisi utakuwa UMECHANGANYIKA mmeoana pengine MUSLIMS and CHRISTIANS je utapenda binamu, au bibi au mjukuu wako auliwe kisa dini tuu? Tubadilike.....TUOMBEENI wenzetu jamani...Watoto wanauliwa bila hatia malaika wa mungu...Wamama zetu Dahhh
 
Tunachotakiwa kupigania si udini UWE Muslim, Uwe christian tunachokitaka ni UBINADAMUU....
Mimi sipendelei Japo ni Muslim lkn Nina Baadhi ya ndugu zangu Uncles, Babu Christians nawapenda pia singependa wapigane...Pia Wapenzi tunapata wengine Christians / Muslims tuishi kwa amani. Americans ndio wachokozi Believe or NOT ktk mataifa mengi. Viongozi wengi wa nchi zilizo endelea, ni devils amini usiamini...Wanaamini dini ya Shetani wanataka woote twende huko...



Nop sijamaanisha kitu kama hicho but wengi wa wakristo wanaamini hii ---- ya kwamba ni taifa teule!! datz it., Nadhani umenielewa now.


 

Nakubaliana na wewe 100%, illuh sikujibu hivyo sababu ya udini but kwa jinsi nilivyoulizwa!! Nadhani kwasasa umenielewa
 
Last edited by a moderator:
SIO DINI HASA CHANZO CHAKE ILA SASA WATU WAMEGEUZA KUWA WA UDINI....AMBAPO SIO SAWA....Wanavyoshabikia badala ya kuombea na kutafuta suluhu ni kupandikiza chuki...Huo ni kama ugonjwa...Ukiuacha na kuuchekelea ujue hata nyie majirani mtaambukizwa tuu...So km tunachekelea huku kusipotulia tujue hata sisi itatupata

******************************


 
Mungu afurahii mauaji hata siku moja wewe na Shetani ndio mnafurahia mauaji...Mungu hawezi kufurahia mauwaji ya watoto wasio na hatia, wamama wajawazito wasio na hatia.....Bora wangekuwa wanakufa walioanza vurugu tuu lkn wasio na hatia viumbe waliozaliwa wanakufa....Kwanza kumbuka hata Israel kuna waislam tena wengi tuu...Sasa sijui unaposema Israel sikuelewiii....


Ningependa watu kwenye mitandao wawe makini kuepuka kusimamia upande mmoja kwani ni kuweka chuki....Wewe ukisema unasimamia Israel na mimi nikisema nasimamia Palestina unafikiri itatokea nini...Suluhu itakuwepo? Akili zenu zinatakiwa kuchekechwa na busara kutumiwa...








 
Mujini hapo wabaya si DINI dini zibaki kama dini, aliyeleta vitabu vyake hajaandika watu wachukiane...hajaandika watu watende maovu, hajaandika watu wauwane......sio DINI bali ni watu walio na roho za shetani ndani yake wanaotaka kumwaga damu.......Kumbuka hata ktk sisi binadamu kuna mashetani....


******************


 
sielewi sijui nani alitutenganisha ktk Imani za dini...Kwani nyie mnavyosema ni taifa teule...
Hata sisi tunaamini japo si mjuzi sana wa dini ila nilivyoisoma ni kuwa tunaamini siku za mwisho zitakavyokaribia Nabii (Mjumbe wa mwenyezi Mungu atakaporudi atatokea Israel ambapo enzi hizo ilikuwa ina jina lingine....

Tunaiamini Biblia, tunaamini Vitabu vitano katika dini ambavyo ni TAURATI, INJILI, ZABURI, kingine sikumbuki cha mwisho ni QUR'AN...

Tunamheshimu Issa allay wa sallam kama nabii na mafundisho yake...Utofauti umetokea tu pale ambapo katika dini hizi sijui why...Kuna ambaye anaamini wa mwisho ni ISSA, wengine wanaamini ni MUHAMAD, wengine wanaamini ni ALLY (hawa ni shia) Mkanganyiko tuu...

Pia tukiangalia katika majina ya mitume woote mlionao ktk vitabu ndio hao hao majina tuu yamegeuzwa lugha..Moses = Musa, Issa = Yesu, Mama Mariam = Maria...na hadithi zake ni vile vile....Hadithi ya Musa ni ile ile...sielewi nini kimetokea...Yaweza kuwa sisi sisi binadamu ndio tumebadili badili mambo...Angalia mavazi ya Masista na mabinti wa kiislam vile vile, angalia mavazi ya Mapadre/maaskofu na masheikh vile vile....ni utanashati tuu umeongezewa lkn ni vile vile sijui nini kimetokea..

Sisi tunaambiwa Mungu ana majina 99 kama ilivyo nyie...Twamuita Baba, twamuita Muweza, twamuita Mkuu, twamuita Mungu...Lugha tuu ya kiarabu imetumika ila tafsiri ni hiyo hiyo kama ya Christians..


Mungu atusitiri kwa haya...





Nop sijamaanisha kitu kama hicho but wengi wa wakristo wanaamini hii ---- ya kwamba ni taifa teule!! datz it., Nadhani umenielewa now.
 
I support ISRAEL and not those cowards HAMAS WHO ARE USING CHILDREN AS SHIELD AND TELL LIES
 
history since time immemorial don't know anybody who stand with Israel - they just cooking another disaster for themselves
 

Usiogope tutasupport Palestina kitu ambacho ni kigumu na hakitatokea
 
ni kasumba tu ambazo zipo
kwenye dini zote. Wakristo wengi wanashabikia Israel, ingawa Israel kuna
wakristo wachache sana. Vilevile waislam wengi wanashabikia waarabu na
magaidi.

umeongea kitu cha maana ni kasumba za kijinga kwa waafrika
 

Prof. Richard Darwin alisema religion is the source of evil. Nakubaliana nae ahundred percent
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…