Eti bless Israel my foot, yani mtu kumuamini ni Mungu ni lazima ai-bless Israel??? Kama namuamini Mungu nasi-bless Israel nakuwa mfuasi wa Lucifer?? Una akili ndogo kuliko mbegu ya haradani!
Kwahiyo yesu huko mbinguni anafurahia yote yanayofanywa na jeshi la Israeli kuua watoto wadogo wasio na hatia?? kwahiyo yesu huko mbinguni anafurahia waafrika walivyobaguliwa na kuteswa na wengine kuuliwa na wayahudi pamoja na polisi wa israeli??? sitaki kukubali yesu analikubali hili!!
Mungu yupi unayemuabudu wewe??? Inawezekana ji-mungu unaloliabudu ni li-mungu linalopenda na kufurahia watoto wadogo wauliwe na jeshi la Israeli, au li-mungu unaloliabudu halina tofauti na li-mungu linalo-ruhusu wauaji wateke Westigate gate ya Kenya na kuua watu ovyo!
Msiba huuBy YouTube
i am no muslim ni mkristo niliyefunguka, zamani nilikuwa kama wewe ila sasa nimefunguka. nyinyi wakristo ndio wale mnaosherehekea kila baya linalofanywa na israel kiling children na kushangilia....
ni sawa na wale waislam wanaosherekea kila baya linalofanywa na kikundi cha ghasia cha kiislam/kiarabu e.g boko haram, al shabab na kushangilia....
ulivyokuwa chizi unayo internet na kushindwa kugoogle na kueleimika, mtumwa wa fikrwa wewe, ukiambiwa hata the tru jesus alikuwa blacks huwezi kubali.....
many bad things are done in this world with these so called asheknazi jews lakini yote hata ukigoogle na kuyajua huwezi kubali....
Is there any verse in the Quran that talks about Palestine? I think Allah doesn't even know those invaders.
Israel is in the Quran but Palestine is not, just tell me whyand is there any verse in Bible jésus mention you.... wtf but mentioned Christian and you belong to there so is that like us and am sure he did it
Mbunge maarufu wa uingereza george galloway ametoa kauli kwamba watalii, na bidhaa yoyote kutoka israel ni marufuku katika jimbo lake huko bradford uingereza, na amesisitiza kwamba ni marufuku kwa raia yoyote wa israel kuingia jimbo hilo.
Good move kwa wapenda haki wote
I am 100% BLACK and 100% JEW
Take it easy, am a bantu!!!! Watch this. Good luck.
BLACK PEOPLE BANTUS ARE ISRAELITES, ISRAEL OF THE BIBLE 1 - YouTube
cc Echolima
I don't think followers of Allah will agree with you.