nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,398
kiukweli cjui umefikiria nini Karucee, nimependa hizo favour jamani, haukai foleni hata ukute watu wana sura ngumu watakupisha watake wasitake , kama ndo unatumia usafiri wa umma na siti zimejaa utapishwa tu
Ha ha haaa nimependa hapo
Mmenikumbusha mume wangu alikuwa anatumia tumbo langu kama excuse...alikuwa akipigwa mkono na traffic basi anasema namuwaisha wife hospital...wengine wakiniona tu manager wanamwambia 'basi nenda'. Kama naendesha mwenyewe ndio full confo utadhani nafanya usalama wa taifa vile...
eheheeee....sijawai kuwa mjamzito ila i wish that nina mikopo ya folic acid kibao kwa room! pregnant woman to be! natafuta tu father wa kujivolunteer!
hata mie namiss sana. Nawaza kupiga kimoja cha uzeeni.
Ukiwa mjamzito hadi polisi na wajeda wa TZ wanakuheshimu. Niliwahi pishwa kwenye kiti na mjeda na akawa ananiambia nisivae viatu virefu. Mie full kujishebedua na kudengua na hata simjui.
Raha sana, hata kutapika na kutema ni raha tu.
nina mpango wa kutafuta ka-uzeeni sasa niambaie wewe utajitolea kuniletea nini??Last edited by Karucee; Today at 15:08. Reason: si basi tu nimaeamua?
Tumia fursa ya kibaridi hki cha Dar Salama usiku kabla hakijaisha!
hata mie namiss sana. Nawaza kupiga kimoja cha uzeeni.
Ukiwa mjamzito hadi polisi na wajeda wa TZ wanakuheshimu. Niliwahi pishwa kwenye kiti na mjeda na akawa ananiambia nisivae viatu virefu. Mie full kujishebedua na kudengua na hata simjui.
Raha sana, hata kutapika na kutema ni raha tu.
nina mpango wa kutafuta ka-uzeeni sasa niambaie wewe utajitolea kuniletea nini??
chagua juice ya ukwaju, ubuyu, ama nyama iliyochemshwa kwenye chungu,
mie na kiti moto wakati wa mimba??Kiti moto!
hata mie namiss sana. Nawaza kupiga kimoja cha uzeeni.
Ukiwa mjamzito hadi polisi na wajeda wa TZ wanakuheshimu. Niliwahi pishwa kwenye kiti na mjeda na akawa ananiambia nisivae viatu virefu. Mie full kujishebedua na kudengua na hata simjui.
Raha sana, hata kutapika na kutema ni raha tu.
mie na kiti moto wakati wa mimba??
hiyo hapana labda nyama iliyochemshwa kwenye chungu halafu isiungwe zaid ya kutiwa ndimu kidogo na chumv baasi halafu niunywe mchuzi wake utanikoma looh!!
hata mie namiss sana. Nawaza kupiga kimoja cha uzeeni.
Ukiwa mjamzito hadi polisi na wajeda wa TZ wanakuheshimu. Niliwahi pishwa kwenye kiti na mjeda na akawa ananiambia nisivae viatu virefu. Mie full kujishebedua na kudengua na hata simjui.
Raha sana, hata kutapika na kutema ni raha tu.
????????????????????!!!!!!!!
Basi nitakuletea bata wa kutokoswa!
bata tena???
shombo lake litanikifu akitokoswa labda abanikwe kisha akaangwe.
daah!!!!!!yaani my dearest kwa mtu asojua kukusoma katikati ya mistari utamwacha solemba.
dongo hilo kwa wenyewe