He was very weak and corrupt. full of nepotism for his friends and those around him. Damage aliyoisababishia nchi yetu will not be fully understood mpaka labda miaka mingi ijayo.....
Na kweli mkuu matendo yake tuliyaona kuanzia bandarini,migodini,mbugani,wizarani,hospitalini,shuleni na kwingineko na mpaka kwa Faru John,twiga walopanda ndege,aisee,full vitendo mkuu
Wewe unayekebei wenzio una biashara gani unayofanya ? kama siyo kupewa ujira na airtime kwa kukaa kwenye mitandao na kujibu kila posit inayohusu kero za watu! Unajishaua wakati unajaza tu request form!
Ulisema naondoka mie mnasema mpole anakuja mkali..Sasa tunaisoma namba! Mswahili wewe ulijaa masikhahara na hekima ya hali ya juu ama hakika nimeelewa thamani ya kitu haijulikanagi mpaka ukikose we're really miss your style!
Wewe unayekebei wenzio una biashara gani unayofanya ? kama siyo kupewa ujira na airtime kwa kukaa kwenye mitandao na kujibu kila posit inayohusu kero za watu! Unajishaua wakati unajaza tu request form!
Du! Watu bwana...mna maneno yani Arusha keshazaliwa Mzee Madiba mwingine!!!!!!!inabidi tuitangazie dunia 'Ajabu la nane la dunia limepatikana Tanzania'