I real miss this man

--Mzee wa ari mpya, nguvu mpya na kasi mpya. Maisha bora kwa kila mtanzania.
-*Binafsi namkubali sana rais JPM wa hapa kazi tu.

Sijawahi kumkubali JK,nawakubali watu strong walio serious,big up JPM,tutengeneze baba!!
 
Mmenichagua sio kwamba niwaambie kile mnachopenda kusikia ila mmenichagua ili niwaambie ukweli
 
JK ni mtu wa vitendo sio maneno mengi yenye unyume na kigeugeu
Na kweli mkuu matendo yake tuliyaona kuanzia bandarini,migodini,mbugani,wizarani,hospitalini,shuleni na kwingineko na mpaka kwa Faru John,twiga walopanda ndege,aisee,full vitendo mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…