I Promise you there is a CAT on this picture!, FIND IT

I Promise you there is a CAT on this picture!, FIND IT

Kingdom_man

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2010
Posts
405
Reaction score
463
find the CAT from this picture. Carefully!!
309325_2045132374296_1423991871_31801808_1463078427_n.jpg
 
Tangaza dau, hakuna kazi ya bure.
 
Yes: Kuna paka 7, nyongeza tu ,
Mbwa 8,
Magari madogo 9
na watu 20 wamekaa chini ya miti 37
 
natafsiri "nakuahidi kuna paka kwenye hii picha",kweli lugha si yetu..........sasa unamuhaidi nani na nini kwanini???
 
Mi nilimuona straight. pale chini ya mti, kuvuka ka path kwa chini hivi
 
hata mi nilimuona,ila sema akatokea panya mmoja si yule paka akaanza kumtoa nduki!amekimbia bana!
 
dah....nimemuona ila imenichukua muda kidogo....kwenye mawe pembeni chini ya mti
 
Back
Top Bottom