i phone 4s

Kama kweli unataka kupata hiyo simu weka hapa jamvini kiasi uluchonacho,vinginevyo watu wanakuona kama una majaribu,na ubaya wa post kama hiz hata siku ukiwa na suala la msingi ukalipost hapa watu watajua kuwa ndo yule mwenye masikhara.Toa specs zake, baseband, Version, internal HD, hata rangi yake we iweke uone watu wanavyomwagika hapa
 
Back
Top Bottom