I never trusted you guy...!!!

Siku zote mwanasiasa haaminiki..
Leo yupo chadema kesho ccm
Hata kauli zao ndivyo zilivyo...usiwaamini hata siku moja na hakuna mwanasiasa anaeaminika..
 
siasa za zitto ni za hovyo, ni mtu anayeamini ili jambo liwe bora katika medani ya siasa lazima lifanywe na yeye, hata makamanda pia walikua hivyo kabla ya 9 disemba 2019. naona sasa wameanza kufanya siasa safi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…