I need your help plzzz! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

I need your help plzzz!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Baby shangazi, May 10, 2012.

 1. B

  Baby shangazi Member

  #1
  May 10, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 64
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Heshima kwenu wadau, eti course ya GEOMATICS inahusiana na nin? Na vip soko lake katika ajira?
  Nawasilisha.
   
 2. mzurimie

  mzurimie JF-Expert Member

  #2
  May 10, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 6,151
  Likes Received: 1,604
  Trophy Points: 280
  Una access ya internet umeshindwa ku google? Labda utapata jibu haraka. Mengine subiri wajuao ila naamini kazi huwa zipo za kila aina duniani. Tabu inakuwa wewe mwenyewe, utaweza pata hiyo kazi?
   
Loading...