Kila mtu huwa na vision zake.
Mimi natamani sana kuwa na mwanamke atakae nielewa.
Wanawake wengi ndivyo sivyo. I need a woman who upstairs yuko poa.
Sure I am.
Ndio hivyo bana...
Yaani I must do that. Maana some woman don't understand me.
women wanapenda wanaume wa kuwanyenyekea hasa humu MMU lisichana kufikiri zero ,ideally zero,lipo lipo tu sa mi la nini,jaribu date women NAIRALAND FORUM wengi wapo so smart ila humu f.ck them my view not a must advice
Unakuta janamke ndio kila kitu hakuna hata changamoto. La nini sasa hilo?