Leejay49
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 19,722
- 62,689
Me nishachoka aisee.. jirani tufanye kumchangia kodi😆🤣🤣🤣🤣🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️
Me nishachoka aisee.. jirani tufanye kumchangia kodi😆🤣🤣🤣🤣🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️
Nishajua nyie mnataka kunigombanisha na dada zangu da mau na da candy 😂😂😂😂Utajua hujui🤣🤣
Kwahiyo Leo unanikana mbele ya watu 🙄Da Mau kanikataza kuwa na marafiki 🤣🤣🤣
Aweke namba tuanze harambee 🤣🤣🤣Me nishachoka aisee.. jirani tufanye kumchangia kodi😆
Na wewepunguza kunishobokea nimemjibu mwengine unakuja kujibu wewe unawashwa? kameze dawa zako
Serious maana hizi ni fedhea sasa maana kama bipolar imepitiliza😆😂Aweke namba tuanze harambee 🤣🤣🤣
HehAweke namba tuanze harambee 🤣🤣🤣
Mwambie alete account. Anataka kodi ya miaka mingapi na kwa mwaka analipa ngapiDa candy anacho ww tuma hela ya kodi kwanza 😂😂😂
nyie endeleeni kumchokoza 🤣🤣 yuko anahesabu maadui zake !!punguza kunishobokea nimemjibu mwengine unakuja kujibu wewe unawashwa? kameze dawa zako
🤣🤣🤣🤣 Si umeona kwenye uzi wake kule nilivyofika mimi kaniambia ww ndio nilikuwa nakutaka hujawahi kunipenda..!!Kwahiyo Leo unanikana mbele ya watu 🙄
Kisa mau
sasa wewe maua unaezaje kujitekenya mwenyewe ukajicheka mwenyewe? umeona ukimbie kule uje kivingine huo n uzima? achana na bangi tumia matembele ndio size yakoWewe ndio unahitaji medical attention nimefungua uzi wangu unaingia nashida zenu kha sijui hili au lile
Da candy njoo uweke account basi ulipiwe kodi kuna tajiri kajitokeza 😂😂😂Mwambie alete account. Anataka kodi ya miaka mingapi na kwa mwaka analipa ngapi
msaidieni mana anakoelekea tutamfunga kambaAna Bipolar anahitaji ukaribu wa watu zaidi
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 alooDah wewe unauhaini kichwani unahitaji kufungiwa mahali utapona penye giza
🤣🤣🤣Nikicheka naambiwa simpendi da mau si mnaona lakini??? 😂😂😂😂
Mrs Besyige Leejay49 Nuzulati Tayana-wog Mama Mwana
Umewahi kuniona mahali unajazba sana shida nini ?? Halafu unaniombea njaa wah!mungu hanipi njaa atawapa maadui zangu njaa upo bibie uwaze kuwa mie sijui nyani ,nyuni hawayani shauri yako sikujui hujui yaanini nihangaike nawewe. Pambana na hali yako kwani wewe hujijibu mwenyewe shughulika na maisha yako.sasa wewe maua unaezaje kujitekenya mwenyewe ukajicheka mwenyewe? umeona ukimbie kule uje kivingine huo n uzima? achana na bangi tumia matembele ndio size yako