Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 42,461
- 102,248
Yake sio muda inapita 😂😂😂Ataanza mama muongozo,atupe muongozo kwanza
😫 KhaaaaHumu wizzy akifungua uzi wa kumsifia mwanamke namuita uduguu wangu cocastic alete topic za lgbt tujadili kwenye uzi wake mpk ufungwe 🤣🤣🤣🤣
Napiga fitna km vizee vya CCM 🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️
Au nawaambia watu waje watongazane uzi uunganishwe na wa kimasihara 🤣🤣🤣🤣😫 Khaaaa
Nyie watu🤣
Watu Kwa kuharibu nyuzi za watu hatujamboYake sio muda inapita 😂😂😂
Kweli we mzee wa fitina🤣Au nawaambia watu waje watongazane uzi uunganishwe na wa kimasihara 🤣🤣🤣🤣
Nitamwambia da mau awafungulie uzi wa wapendanao sawa 🤣🤣🤣Watu Kwa kuharibu nyuzi za watu hatujambo
Kesho tufungulie Uzi wetu 😅
Fitna fitna hakuna mtu kuni replace hapa 😂😂😂😂Kweli we mzee wa fitina🤣
Unachokitafuta 😅🏃🏃🏃Nitamwambia da mau awafungulie uzi wa wapendanao sawa 🤣🤣🤣
Haya tukalaleFitna fitna hakuna mtu kuni replace hapa 😂😂😂😂
😂😂😂😂 Da mau shosti yangu kitambo weweUnachokitafuta 😅🏃🏃🏃
Mi simo
Namsubiri wizzy naona yy ndo kafika hapa 😂😂😂Haya tukalale
Sa sita🙌🙌
😂😂😂Humu wizzy akifungua uzi wa kumsifia mwanamke namuita uduguu wangu cocastic alete topic za lgbt tujadili kwenye uzi wake mpk ufungwe 🤣🤣🤣🤣
Napiga fitna km vizee vya CCM 🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️
Hiyo couple umesema ipo wapi? Ni ya mama mchungaji????🙄Namsubiri wizzy naona yy ndo kafika hapa 😂😂😂
Jichanganye 😂😂😂😂
Mmmh sijaelewa au ni vipi? Mama mchungaji huyu huyu mtumishi ana couple???Ni Tayana-wog na Omulasil 😜
Hivi ushaanza kuelewa kikinga nikujibu kwa kikinga..?? 😂😂😂😂Mmmh sijaelewa au ni vipi? Mama mchungaji huyu huyu mtumishi ana couple???
Btw hongera kwako rafiki Tayana
Nitajibu kesho Shem kantry 🤣🤣Mmmh sijaelewa au ni vipi? Mama mchungaji huyu huyu mtumishi ana couple???
Btw hongera kwako rafiki Tayana