I need a caring Husband..............

Pozi lako tu majanga mdogo wangu, lakini duniani hamna mtu mbaya utapata tu mwenza
 
Mmmmh,wewe ndio wale wadhungu wanaokuita waifu matirio!Yaani me sura sina tatizo nayo maana najua sitoibiwa nkikuweka ndani tofauti na hawa wanawake Amadori (wa kisasa) kujipodoa kwingi yani mpaka unakosa uhakika kama kesho ataendelea kuwa wako!Nshachoka kutembea na panga kumlinda mwanamke!
Hebu ntajie mahali kwanza...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…