Horseshoe Arch
JF-Expert Member
- Aug 10, 2009
- 13,402
- 12,792
Nacho kijua mashine itakuwa bomba mbaya!
Jamani mwenzenu Heaven on earth nimechoka kuishi single.......
nahitaji mwenza.......kama mnavoniona hapo...........walio tayari tuwonane PM....
am here

hahaaaa vipodozi vya weekend hii ilikuwa si kidogo best angu........
I hope hata wateja wataongezeka Saloon kwako..nakutangazia na biashara yako hapa
You need a caring husband while you're a scaring wife...!???
hahahahaaaa, Baba V ugomvi huo sasa, hebu waachie wanaume na bahati zao we endelea kutishika tu hapa teh....teh...!!!!!
Cc: Heaven on earth
yaan just only comment hakuna anayexema am ready to be ur hubby bhax dadaa kifunike tu hakiozi
watu wanawapa mimba machizi sembuse huyoKitaziba bana......we have to make use of our organs
watu wanawapa mimba machizi sembuse huyo
kweli?ina maana mpaka sasa pamoja kutangaza nia wanakwepa?mbona wengine washakukubaliasi ndo hapo.......me I need you
kweli?ina maana mpaka sasa pamoja kutangaza nia wanakwepa?mbona wengine washakukubalia
haya bhana umeshindawananizingua we si uko single we can make it ME and YOU