I need a caring Husband..............

Mtoto mashallah! jicho jicho, domo domo!
 
Hahahaha shosti Heaven on earth hiyo ndio siku pekee nlokupodoa ukapendeza kuliko
...umefanya vizur kuieka hapa nipate shemegi lol...

hahaaaa vipodozi vya weekend hii ilikuwa si kidogo best angu........

I hope hata wateja wataongezeka Saloon kwako..nakutangazia na biashara yako hapa
 
Nimeshakutupia like if and only if you meant Mungu pale penye bold .

Ninamaanisha mungu aliyenena ktk kitabu cha mwanzo wakati wa uumbaji...."Na tumfanye mtu kwa sura na mfano wetu......"
 

Well said ndugu....binadamu tunajisahau sana kiasi cha kufikiri sisi ndio waumbaji. Ulichopewa na mungu siyo kwamba ulimhonga mungu ila alipenda uwe hivyo kama wengine walivyo. Ni kufuru kumwona binadamu mwenzako ana sura mbaya, hana akili, kilema n.k. Mungu alituumba jinsi tulivyo ili tumtukuze kupitia jinsi alivyotuumba.
 
Jamani mwenzenu Heaven on earth nimechoka kuishi single.......

nahitaji mwenza.......kama mnavoniona hapo...........walio tayari tuwonane PM....


Kama hii ndio picha yako, haishangazi kusikia upo singo hadi leo. Tarajia kupanda daraja kutoka single kuelekea senior single and then professional single.
 
taratbu za kutoa mahari zikoje kwenu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…