I need a born again husband

Mm ni msichana wa miaka 25,natafuta mume ambae ameokoka awe na sifa zifuatazo:
1.Ameokoka na kuzaliwa mara ya pili
2.Mwenyehofu ya Mungu,mkweli,mwnye mapenzi ya dhati
3.awe ambaye hajawahi kuishi kinyumba na mwnamke yeyote,asiwe na mtoto
4.awe na kazi inayomudu kutunza familia
5.awe tayari kutofanya mapenzi hadi ndoa.
6.awe tayari kupima afya yake kila baada ya miezi mitatu
7.mweusi wastani,kabila lolote ila asiwe mchaga,mrefu wastani si mnene si mwembamba,awe wa dhehebu lolote la kipentekoste kama upo tayari jitokeze ntakupm!

Sifa zangu,
elimu ya diploma,si mfupi wala si mrefu,mweupe kiasi,mkali kwa asili nisiependa ujinga,najiheshimu sana,mchamungu na mwnye mapenzi ya dhati

Saafi sana mpendwa!
Cha msingi uzidi kumwomba Mungu akujalie yule unayemtamani na utakayeishi naye kwa raha na amani.Mimi ni mvulana siyo mchaga,nimeokoka nampenda Mungu, na natafuta msichana mwenye kumwopa Mungu, asiyependa makuu ambaye tunaweza kuishi pamoja,ktk shida na raha, ambaye atapenda ndugu zangu,asiye na majigambo mbele za watu,:
Sifa zangu:Mwembamba kiasi,mweusi,kaelimu kangu ni kadgree kamoja,nina uhakika wa mkate wa familia yangu wa kila siku,tuwasiliane kupitia nzomwi@yahoo.com.
Stay blcd!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom