wala usimuogope, sana sana atakwambia mkutane kaunta kwa Eliza grocery, and then atalewa, atasahau kwamba ww upo, yy atachapa lapa kivyake kuwahi kabla mama matesha hajahamishia mwiko chumbani tayari kwa adhabu ya kuchelewanazisubiri kwa hamu na chochote atakachosema nitakubali.
Cheusi wa Kaizer dear,
we missed you too......
chrispin darlin mie nilisema especialy chrispin kimoyomoyo kumbe umesikia.nitakupenda daima.
Huwa hataniwi huyo....subiri mfululizo wa PM!
nazisubiri kwa hamu na chochote atakachosema nitakubali.
Unaona sasa! nilikwambia bora mie nipo, situmii server, situmii umeme wa tanesco.Yani shosti umenena, kwa kweli hata mimi nilihangaika kuchwa kutwa bila mafanikio. Nikawa na mawazo mengi sn...may be am banned and so on. Jamani kama ni bangi basi JF nimejawapo. Cjui cku itoweke wengine tutakimbialia wp! I missed them JF alot and thank you are back again. Love u all.
umeona eeeh?yaani si mchezo shosti wangu.pia inatuepusha na mambo mengi.Yani shosti umenena, kwa kweli hata mimi nilihangaika kuchwa kutwa bila mafanikio. Nikawa na mawazo mengi sn...may be am banned and so on. Jamani kama ni bangi basi JF nimejawapo. Cjui cku itoweke wengine tutakimbialia wp! I missed them JF alot and thank you are back again. Love u all.
aaaaaaaaaaaaaamen!!!!!well said well said.Unaona sasa! nilikwambia bora mie nipo, situmii server, situmii umeme wa tanesco.
Na ilinenwa usiweke mapenzi yako juu ya vitu wavifanyavyo wanadamu.......weka mapenzi yako kwangu....hata wewe ujapokuwa na simanzi nitakuliwaza.
wote sema amen!!
what do u mean mpendwa wangu bht?hebu fafanua!Cheusi unampango gani na wapwa.........samahani kama nimekukwaza!!
what do u mean mpendwa wangu bht?hebu fafanua!
hujanikwaza koz hata cjaelewa swali lako.
nilikumiss hata wewe kishenzi shosti wangu!!!!
Naona ana mpango wa kutumiss wooooote !........na kum-love nanihii peke yake kwa niaba ya wapwa.Cheusi unampango gani na wapwa.........samahani kama nimekukwaza!!
Naona ana mpango wa kutumiss wooooote !........na kum-love nanihii peke yake kwa niaba ya wapwa.
shosti, wewe wa Chrispin, Kaizer, Bigirita sasa who z who.
shost we acha tu hii kitu ikikosekana siku huwa ndefu
Signal zipo, lakini zinatofautiana strength........angalia vizuri hapo juu!!shosti, wewe wa Chrispin, Kaizer, Bigirita sasa who z who.
shost we acha tu hii kitu ikikosekana siku huwa ndefu
Hili neno kwenye bold linmaanisha nini hasa enyi mahayo kwenye bold?
Signal zipo, lakini zinatofautiana strength........angalia vizuri hapo juu!!
bado kidogo iliyo na nguvu itadominate.na picha mtaanza kuziona bila chenga
Weeeeee! thubutu?hahaaaa mseminari bado kidogo Paroko atakurudisha home akukabidhi kwa familia yako.......
Weeeeee! thubutu?
Paroko mwenyewe anakunywa bia kwenye grocery ya mzee wangu. Yani mzee wangu wanaiva ile mbaya........wakati mwingine anamwombaga pick/up yake, nahisi huwa wana kwendaga kwenye mechi za mchangani pamoja, mzee wangu ndo cover up!!