Mweeee mpk nikuwekee bandiko!
Thio vidhuri ujue
karibu sana dear snowhite.. your twin SnowBall nae aliaga, sijawahi muona tena!
hivi uliondokaga na The Boss? simuoni kabisa siku hizi akikatiza na Neylu! au ndo kusema EMT kampa kifungo cha maisha? lols.. nakumbuka sana ile kesi yetu ya washington denzel ...!
miss you snowhite..!!! quote me soon!! lols...
partner hiv hatubreak hata kidogo?Don't worry. snowhite will be back. Usisahau hiki ni kipindi cha mjadala wa katiba mpya so we are extremely busy ku-draft hizi kanuni za bunge la katiba na pia kuwapa wajumbe semina endelevu.