kaka sijambo, leo JB hapa.....
kweli upo kwenye khali tete, jilipue tu mwanaume wa ukweli anasema tuuu
Ahahahaha AF mtani katika rasimu ya katiba yetu kuna mahali tuliwekamo MU ya kuwa waongo?
Kolig mekumithije
Yule bwashee yupo?
Niiiiipo hao wandugu itabidi nifanye la muhimu kuwatafuta!karibu sana dear snowhite.. your twin SnowBall nae aliaga, sijawahi muona tena!
hivi uliondokaga na The Boss? simuoni kabisa siku hizi akikatiza na Neylu! au ndo kusema EMT kampa kifungo cha maisha? lols.. nakumbuka sana ile kesi yetu ya washington denzel ...!
miss you snowhite..!!! quote me soon!! lols...
JB belmont?
ndio kiongozi. ninatenda ya kusafisha viatu...
Duh, eti unasafisha kwa computer?