ApolloShadow
JF-Expert Member
- Jul 19, 2025
- 927
- 1,927
kuna watu wanafahamiana humu kama ndugu na marafikiNilimaanisha pia je hao Jf watajuaje mtu katembea,?
kuna watu wanafahamiana humu kama ndugu na marafikiNilimaanisha pia je hao Jf watajuaje mtu katembea,?
🤣🤣🤣🤣🤣 make hapo kwanza ncheke!Paloma alikuwa mzuri 😋😋.. Nilikuwa namuwaza sanaaa, ila duni..
Nakumbuka matukio matatu yangu, moja kupokonywa mpenzi wangu na member mwenzangu wa jf 😅😅... Moja kuna kitoto cha TIA kilikuwa member humu tulilala nacho usiku mzima, ila kikaninyima na asubuhi kikachukua posho yake laki na nusu.. Na mwisho Toto moja la kirangi kama lilinipiga ndumbaaa
ajali kazini 😅😅🤣🤣🤣🤣🤣 make hapo kwanza ncheke!
Nimefurahi kuona comment yako amuKheeeee makubwa.
I miss you too mubabe wangu 🥰🥰🥰
Nyie ndio mliokuwa mnakuja kwa kuficha aidiii...I was one of few mates who showed up at Kebby's, came a bit late...
"Leo tupo hapa pub" ilikuwa Mwananyamala na sio Kinondoni...
Nimepotezana na raia wengi wa wakati huo including Mtambuzi & co, but still in touch with few...
Nafarijika kukuona
Shukrani sana.... Inabidi tuwatafute member wote wa zamani turudishe ile chit chat ya enzi za mwalimu 😜😜Nafarijika kukuona
Kheeeee makubwa.
I miss you too mubabe wangu 🥰🥰🥰
Shukrani sana.... Inabidi tuwatafute member wote wa zamani turudishe ile chit chat ya enzi za mwalimu 😜😜
EEeh nimekumiss more and most. Halafu ukimuona klorokwini nistulie
Siamini macho yanguShukrani sana.... Inabidi tuwatafute member wote wa zamani turudishe ile chit chat ya enzi za mwalimu 😜😜
Naomba na file la Mr kyu
Za masiku mengi?Kheeeee makubwa.
I miss you too mubabe wangu 🥰🥰🥰
Ni zaidi ya undugukuna watu wanafahamiana humu kama ndugu na marafiki
Wanatuchanganya jamani hadi hatuelewi tuwachangamkie kinamna gani😀Mmeanza kuja na id zenu mpya 🙆♂️🙆♂️