🤣🤣🤣🤣 kwakweli wasitufanyie hivyo.Wanatuchanganya jamani hadi hatuelewi tuwachangamkie kinamna gani😀
Hivi mbona hujanistua siku zote? Au wivu? Hahahaha
🤣🤣🤣🤣 Ukafanywa joka la kibisaPaloma alikuwa mzuri 😋😋.. Nilikuwa namuwaza sanaaa, ila duni..
Nakumbuka matukio matatu yangu, moja kupokonywa mpenzi wangu na member mwenzangu wa jf 😅😅... Moja kuna kitoto cha TIA kilikuwa member humu tulilala nacho usiku mzima, ila kikaninyima na asubuhi kikachukua posho yake laki na nusu.. Na mwisho Toto moja la kirangi kama lilinipiga ndumbaaa
Hahahaha, swahiba mwenyewe nilijua file lipo mezani kwako jioni tulipitieNaomba na file la Mr kyu
Lovely dad... kwanza nimekununia ... hivi ndio mabinti zako wote ulitususa namna hii au ni mimi peke yangu?😒😒😒.... Hii kesi ni kubwa sana , labda uje na mashahidi wa siri ndio tutaimaliza... CC: Husninyo aione kwenye fileWewe 🤗🤗
Aisee umejua kupotea
Ukistuliwa unistue na mimi pia... Popo mwenzetu those days 🤣🤣🤣EEeh nimekumiss more and most. Halafu ukimuona klorokwini nistulie
🤣🤣🤣🤣Siamini macho yangu
Nimefurahi upo,maana members wa zamani kimya imekuwa kingiEEeh nimekumiss more and most. Halafu ukimuona klorokwini nistulie
Lovely dad... kwanza nimekununia ... hivi ndio mabinti zako wote ulitususa namna hii au ni mimi peke yangu?😒😒😒.... Hii kesi ni kubwa sana , labda uje na mashahidi wa siri ndio tutaimaliza... CC: Husninyo aione kwenye file
Jana na leo
Hii post imeniuma na imenikumbusha mbali sana hao members.Anyway RIP Dena Amsikina CharmingLady, Mentor , KING'asti Asprin 😅😅 @sectretary Bishanga Arabela mimisa Kipaji Halisi ila kuna siku nilikuwa napita enzi hizo, niliumia sana kukuta memba alie kuwa anaitwa Dena Amsi amefariki roho iliniuma sanaa
Hahahahah... sasa nimerejea rasmi nyumbani baba kipenzi... natamani utukusanye mabinti zako wote kama zamaniSiku zote nipo hapa hapa...
Wewe ndiye binti wa kwanza kuzaliwa lakini ukalikimbia boma hata nisijue umetowekea wapi binti yangu kipenzi...
Madame you are missed jamnSawa.
Ila si kwa user hii boss💋
Sawa.
Ila si kwa user hii boss💋
Hahahahah... sasa nimerejea rasmi nyumbani baba kipenzi... natamani utukusanye mabinti zako wote kama zamani