I Miss you Husninyo

I Miss you Husninyo

😊😊😊

Mzee ilifanya social connection na sio uharibifu...

Wanaume walikuwa 80% hivi ya wahudhuriaji...
Hukunielewa...
Namaanisha kama mtu kabdili ID lolote linawezekana ila kubwa hiyo ID ilishafanya uharibifu ndiyo maana ihaitumiwi.
 
Okay, nimekupata...

Watu wengi tunatumia ID zile zile tu, labda kama wengjne wawe na ID zaidi ya moja...

Ila kwa sasa naona kuna watu waliokuwa active awamu fulani, hawapo tena active (last seen zao ninza muda mrefu)...
 
Namtafuta sana huyu member Paloma
Paloma alikuwa mzuri 😋😋.. Nilikuwa namuwaza sanaaa, ila duni..

Nakumbuka matukio matatu yangu, moja kupokonywa mpenzi wangu na member mwenzangu wa jf 😅😅... Moja kuna kitoto cha TIA kilikuwa member humu tulilala nacho usiku mzima, ila kikaninyima na asubuhi kikachukua posho yake laki na nusu.. Na mwisho Toto moja la kirangi kama lilinipiga ndumbaaa
 
Mmeanza kuja na id zenu mpya 🙆‍♂️🙆‍♂️
 
Paloma alikuwa mzuri 😋😋.. Nilikuwa namuwaza sanaaa, ila duni..

Nakumbuka matukio matatu yangu, moja kupokonywa mpenzi wangu na member mwenzangu wa jf 😅😅... Moja kuna kitoto cha TIA kilikuwa member humu tulilala nacho usiku mzima, ila kikaninyima na asubuhi kikachukua posho yake laki na nusu.. Na mwisho Toto moja la kirangi kama lilinipiga ndumbaaa

Aiseee!
 
Back
Top Bottom