Evarm
JF-Expert Member
- Aug 30, 2010
- 2,000
- 1,560
- Thread starter
- #41
Herini ya mwaka mpya wooooooooooooooteeeeeeeeeeee!!!
mie nipo sana tu ila this time nimeamua kujizika mwenyewe, baada ya kuchagua mitala tena iliyo rasmi, huku nataka kule nataka................ Zinduna malizia hapo.
ngojeni kwanza bwana nliye mpata nimudu kumhudumia then i will come back to you..
Nafurahi kukuona tena hapa jamvini, haya mhudumie huyo kidumu kwanza.