I miss my ex man so much jamani

Si ajabu hii ikawa ni stori ya kutungwa lakini watu mmejipinda kushindana kutoa povu huku mwenzenu anawacheka😀
 
Ww si ndio unaolewa tarehe 28/8/17?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si ajabu hii ikawa ni stori ya kutungwa lakini watu mmejipinda kushindana kutoa povu huku mwenzenu anawacheka😀

hapana Nyani Ngabu hz styr zipo sana sana kwenye jamii yetu!.. huyu ameshindwa ficha hisia zake na anataka kumuonesha ex kuwa bado anampenda! sie hatujuag kuficha hisia hata siku 1 nyie mnakufaga na tie shngoni!
 
Hata kama zipo, wewe una uhakika gani kuwa hii ya huyu ni ya kweli na si ya kutunga tu?
 
Seneta wa mtwiz ..haha,mtwara kuchele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…