I miss my ex man so much jamani

My E njoo uwaone hawa wanavyoongea upuuzi [emoji57]
Love you my E
 
When a woman loves she loves for real nilimpenda x na bado nampenda hakunitoa bikira yeye lakini mapenzi yake kamwe sitayasahau he was such a gentleman na hatukuachana kwa sababu ya ugomvi but ni circumstances ambazo they can't be avoided



sasa utaishije nae mwananume huyu mpya km unammis hvyo usk mzima? km mlipendana namna nhyo kwann mliachana?

huon km unajitesa nafs yako...anywys kila mtu na maisha yake... mm had naingia kaburin sitakaa nimvulie pichu ex aic kwanza ataniona NIMEISHIWA... EX MIE KWANGU NI SCRAPER!
.................gudluck.............
 
[emoji23][emoji23][emoji23]maajabu hayatakaa yaishe...wewe si umesema umepata bwana hapa jf tena ni mbotswana na anakulipia mahari mwezi huu mwishon?sasa umekuja kumsifia x tena wataka aku****,haki ya nani daah
 
[emoji23][emoji23][emoji23]maajabu hayatakaa yaishe...wewe si umesema umepata bwana hapa jf tena ni mbotswana na anakulipia mahari mwezi huu mwishon?sasa umekuja kumsifia x tena wataka aku****,haki ya nani daah
Ukistaajabu ya kuku utaona ya bata[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wadau wa JF, tuwepo tuangoma kigambonino kihudhuria mahali ikitolewa kwa hela za trump. Pia tutapata kumuona mbotswana kiazi anayenunua mbuzi kwenye gunia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sitashangaa kwa nini ndoa zinavunjika... Umpate mume humu halafu X yumo humu humu unamsifia mbele ya mume mtarajiwa kweeeli.... Tuweni na chembe za huruma bhasi kama hata heshima haipo
 
Dada hujatulia najuta kukupa cheers yangu.[emoji86]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…