mangelengele
JF-Expert Member
- Nov 4, 2014
- 1,293
- 1,102
I MISS OUR DAYS!Kuna ka pepo flani ka kutojielewa kana kunyemelea.
Umejoin leo leo.
Tayari una mume umempata JF.
Na tayari una una EX unaemmisi.
Ptuuuh.
Hahahahhaha kumbe umalaya si lazma kujiuza.Huu ndio umalaya....
Me Huwa Naonaga Wanawake Sio Binadam Halisi, Cwatofautish Na Majini/mashetan Kwa Unafiki. Ndo Maana Kuna Usemi Usemao "Mwanamke Hana Dini". Niliwah Ambiwa Na Mjomba, Ucje Ukamnyima Lift Mwanaume Ukampa Mwanamke. Ukpata Matatzo Njian Hatoshuka Ndan Ya Gar Na Akishuka Atasimamisha Lingine Na Kukuacha Hapo. I Know Them, Kwangu Ni Km Vyombo Vya Kutumia Tu, Nikiona Anasumbua Huwa Nabadilisha Tu Nakutafuta Kingine Na Sijawah Kuwasamehe Ila Tunapo Anza Mahusiano Tunakula Nae Kiapo Ili Ikimfka Safar Ajilaumu Mwenyewe.
This is a crap![emoji23]Kuna ka pepo flani ka kutojielewa kana kunyemelea.
Umejoin leo leo.
Tayari una mume umempata JF.
Na tayari una una EX unaemmisi.
Ptuuuh.
Hahahaha, this life is not fair at allaiseee mbotswana hapewi punye hadi mahari kwanza, ila jamaa anaombwa akaichakaze bureeee
haya mambo nilisha shindwa mwezi ujatoa punye, kafie mbele....yaani kwangu usitoe mpaka harusi alafu kuna jamaaa anaombwa akaipige duuuh
eboooooo, wanajuana wenyeweSasa mbotswana akiona hizi sifa kwa ex na kuomba kukumbushia viporo bado ataleta mahari??? Mmh jamani sometimes its best to be quiet
edson Dominic Jr ndio wewe huyo 'E' anae ombwa akapashe kiporo? Mbona umecheka sana?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji31] [emoji31] [emoji31]
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu mleta mada anaonekana ni msomi ambae hitumii vizuri elimu yake. Sasa anaomba re-match na x wake hadharani wakati ana mtu mwingine yupo humu humu na atajua tu mtu wake ana nyenyere wanamsumbua sana kule kunako. Kibaya zaidi kashajisema yeye ni yule ambae anapanga kuolewa na Mbotswana aliepata mchumba humu JF. Sasa hizo ni akili? Akitoswa na huyo jamaa atajiona ana mikosi? Au misifa ya kutaka kutangaza anaolewa na foreigner? Hajitambui huyu mtu.I see wanawake wa JF tumepatwa na ukichaa wa upweke,Eeh M/Mungu tusaidie
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hao wa namna hiyo wapo wengi hadi huko mitaani.Hawa ndio wanawake wa kiafrica hawajui kumove on namwonea huruma sana hyo mbots huyu akikutana na huyo X wake lazima atoe unyevu tu sijutii maamuzi yang ya kuwadharau wanawake wa JF