I miss my ex man so much jamani

Kwanini umeogopa kumwita Malaya?
 
Ex wako from JF ,Mbotswana from JF (mlikutana) pongezi za Ex wako unazitolea JF hii itakuwa SCRIPT
# Tamaa mbaya

GARI BOVU HUVUTWA NA ZIMA
 
wewe syo bure

Hapa jf uongo umekisiri sana

hyo ID kuna namna lazima
 
Yani mademu wa kibongo bana. Anamiss dushe la mshikaji wa kibongo akat anaolewa soon. Looh[emoji42]

sent from my iPhone 7s using JamiiForum mobile app.
 
Kazi na Dawa.

Ngoja nisuuze Koo kwanza ili Akili ikae sawa
 
Mhhhh kweli hii inaitwa pambana na huba lako

IRON LADY!!!!
 
Toba yarabi!
Ndio maana vijana siku hizi hawataki kuoa.
Na kwa sisi wanaume tulio katika ndoa asilimia kubwa hatuna Imani na wake zetu....haswa baada ya kusoma uzi kama huu. Nimejikuta najiweka kwenye viatu vya huyo mume mtarajiwa,nikapatwa na hasira kali na huzuni ya kiwango cha SGR (Standard Gauge Rail).
 
Hawa wanawake shida. Kun ex wangu pamoja na kuolewa lakini maneno aliyokuwa akiniambia kuhusu uhusiano wetu. Ni afadhali Muumba hakutupa uwezo wa kujua mwenzio anawaza nini.
 
Mleta uzi unahitaji maombi,maana mbele ya safari yako ya ndoa,naona giza.Namwomba huyo E kama anamjua Mungu,akimbie mbali sana,maana huo unaweza kuwa mlango wa maangamizi.
Ogopa sana mwanamke anakusimanga una kibamia,halafu yakimshinda huko anarudi eti "wewe ndiye mwanaume pekee uliyenifikisha na kunipa penzi la kweli!!"Ni uwongo aende zake,unawezaje kulilia kubamia?!!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
wanawake acha tu tunyanyaswe...
acha tu....
yani unataka kupasha nae kiporo?
unataka uonje biringanya kwa mara ua mwisho...eti kuagana.....serious?
Halafu kaandika kama kejeli flani hivi,ok kila mtu na mitazamo yake aisee
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…