I miss MMU and JF in general

I miss MMU and JF in general

It seems siku hizi unashinda jukwaa la wakubwa tu..huko ndipo mahala pekee sipatikani..

hahahah wengine anawaona we tu ndo hakuoni jiulize Tyta mbona mi nakuona deile lol
 
Last edited by a moderator:
hahahha akijichanganya anga zako weka historia yake hapa jf lol

Hajui nimepita masijala nikakuta file lake liko kwenye hansadi zangu...hata hivyo anaonekana yupo kindugu zaidi..(japo wa kuucheki kwenye dictionary zaidi)..
 
Last edited by a moderator:
miss neddy malikia wangu, hivi ikitokea sipo kwa muda usiojulikana, hivi utaolewa tena au utakaa mpaka nirudi?
 
Last edited by a moderator:
Hajui nimepita masijala nikakuta file lake liko kwenye hansadi zangu...hata hivyo anaonekana yupo kindugu zaidi..(japo wa kuucheki kwenye dictionary zaidi)..

hahahaha mi ndo ndugu yako wa damu kabisa angalia usije ukanianika juani siku moja lol
 
Last edited by a moderator:
Hajui nimepita masijala nikakuta file lake liko kwenye hansadi zangu...hata hivyo anaonekana yupo kindugu zaidi..(japo wa kuucheki kwenye dictionary zaidi)..

usiongee na miss neddy huyo hadi mumewe kamshindwa ongea na mimi! mchonganishi huyooo
 
Last edited by a moderator:
Habari zenu wana jamvi,baada ya ukimya wa ghafla na kupoteea jukwaani kutokana na makujukumu ya hapa na pale.

Hivi sasa nimerudi jamvini tena kwa nguvu mpya na kasi mpya in the mean time nimewamiss sana marafiki zangu wote kuanzia mabazazi wa kiume mwekundu Nicas Mtei Mashaxizo na wengineo na marafiki zangu wa #teamrafiki Mr Rocky miss chagga ladfurahia kiwatengu Ntuzu mwallu ICHANA utafiti Excell Tized CHARMng lady,wherever you are Mndengereko amewamiss sana na anawawish kila la kheri,bila ya kuwasahau Eshy m.s yero OLESAIDIMU ladyfurahia, Mentor Watu 8,pia nimememiss sana busara za Mtambuzi na wengine wote ambao sijabahatika kuuwataja much love kwenu.

good thing umerudi kaka, naamini kuna mambo meng sana huku yalikuwa yanakupita.
karibu karibu tena Mndengereko
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom