Hapa Excel asipaone
hahaha acha uchochezi
hahaha acha uchochezi
i dont know anything about utafiti Mndengereko ni mchochezi huyo
Mbona natajwa tajwa kuna shda gani?
asante kwa ujumbe, hivi kumbe nna michepuko mingi eenh?Utafiti unaonesha kwamba asilimia kubwa wanaoambukizwa ukimwi ni wanandoa.
Cha kusikitisha zaidi wanaoendekeza michepuko ni wanaume
kookooookoooookoooo
Je unataka ndoa yako iponeeee?
basi baki njia kuu
cc Excel
una makengeza hakuna aliekutaja lol
hivi ulipotelea wapi jamani? nilikumiss sana my kaka!
halafu braza naona mazoea yanaenda mbali sasa! haka katabia ka kuita wake za watu dear ukome! lol..
miss neddy nikikukuta umeitwa 'dear' na kidume chochote humu na wewe ukaitika positively... ohoo!
Ucjal no more kumissiana am back
una kesi nzito sana ya kujibu leo.... zunguka zunguka halafu uje na maelezo
afadhali umerudi, maana ulivyopotea namie hamu ya jf iliniisha!