I miss MMU and JF in general

I miss MMU and JF in general

naona umenimiss kinyama! ngoja nikuchum kwanza upunguze machungu! lol...

au sio totooo!!? narudi soon.. usijali sana!

Umejuaje nina ukame wa kiss aise...poa nakuwait mkurya
 
i have a lot of wives mkuu,if she is not around then someone else is around,teh teh teh..
hahahaaa! mkuu umezingua hapo! mkeo kapigwa kibendi na tema bazazi!

lete ushahidi hapa kwamba ladyniece yu hai tumboni mwake..! lol
 
pita ndani upate kinywaji,ulipotelea wapi?
 
si unajua tena, utakua ushaanza kuugua mboni za macho wewe si bure! fasta sema nitume gharama za miwani!

sawa mpenzi...?

hahahhaa hata mi naona yalivyoharibika miwani haifui dafu
 
miss neddy my inspiration my everything..
I miss you very much my apple!
 
Last edited by a moderator:
Miss u my hubby Mndengereko yani ile ahadi yangu bado ipo au umekuja na hari mpya na kazi mpya
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom