ICHANA
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 4,765
- 3,598
miss u much my friend Mndengereko
Last edited by a moderator:
hahahaaa! mkuu umezingua hapo! mkeo kapigwa kibendi na tema bazazi!
lete ushahidi hapa kwamba ladyniece yu hai tumboni mwake..! lol
Ha haa mi staki hiyo...
siamini hujanimiss hata kiuongo uongo.
Miss u my hubby Mndengereko yani ile ahadi yangu bado ipo au umekuja na hari mpya na kazi mpya
Miss u my hubby Mndengereko yani ile ahadi yangu bado ipo au umekuja na hari mpya na kazi mpya
Mtani....Mbona nlikuona unaamia ndege na kuvuna mpunga Rufiji?
Huko kwa mkoloni ulienda lini?
Yaani kweli mchaga mchaga tu,i miss u back by the way yaani baada ya kunijulia hali kwanza unaniulza kuhusu ahadi kweli?
Mkuu na mm haujanimiss!!!!....
dada huyo jamaa kafulia vibaya mno hata siku alikuwa hana...
uko wapi kiongozi?
Mtani....Mbona nlikuona unaamia ndege na kuvuna mpunga Rufiji?
Huko kwa mkoloni ulienda lini?
Hahaha mtani shamba sina nitaanzaje kulima labda unikodishie,nataka nianze kuvua mamba kwenye mto rufiji.
Hahaha mtani shamba sina nitaanzaje kulima labda unikodishie,nataka nianze kuvua mamba kwenye mto rufiji.