Eshy m.s
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 2,926
- 1,561
Nipe tu nyama nile kweli hata nikikamatwa na mfupa najua sina neno...
Bora tu nikupe ukikamatwa ukamatwe kihalali
Nipe tu nyama nile kweli hata nikikamatwa na mfupa najua sina neno...
anhaaaa naanza kuunga dots kumbeeee
Bora tu nikupe ukikamatwa ukamatwe kihalali
Just thanks my eshy! nikiongea mengi najua wapambe hawatakosa kutia neno.
Sema chochote kaka
Mkuu za kupotea....
Hata mimi cna uhakika inawezekana kawaolea watu
Ivi Tyta yupo?
miss chagga mwanangu ndo amekua ivo kweli?Mi npo mkuu...umepotea umemwacha mwanao miss chagga hashikiki...anaanzishiwa uzi na kila bazazi daily...
Salama sana mkuu. Mambo vipi?
blaza mimi nawewe wakufanyiana hivi Kweli....?
Mkuu kwanza niseme pole na matatizo,itabd nikuone private ila mi mzma,bukheri wa afya nilipotea kutokana na majukumu bt nimerejea sasaMndengereko karibu sana mkuu. Muda sana uliipotea aise mkuu
Hakika akutukanaye hakuchagulii tusi
karibu sana kaka,
miss neddy kadai kakumiss kuliko mtu yeyote humu, i bet my appearance destructed everything, isnt it?
where were you? is everything under control?
asante kwa info madam!
Mkuu Mndengereko asante sana mkuu. Mbona mmerudi wakati mmoja na utafiti au mlikuwa kwenye deal moja nini aise
Nashukuru sana mkuu
karibu sana kaka,
miss neddy kadai kakumiss kuliko mtu yeyote humu, i bet my appearance destructed everything, isnt it?
where were you? is everything under control?