I miss MMU and JF in general

I miss MMU and JF in general

Last edited by a moderator:
Huyu utafiti baada ya kuchukua ng'ombe zangu buku kwaajili ya Mahali ya binti Yake miss chagga akapotea! Zimeisha Hizo Mahali Sasa karudi tena amkamatishe mwingine binti yake kimeo!
Mr Rocky Yani hapo kwa miss chagga komaa peke yako maana ata Bulldog alishachoswa Na mizinga!

Mimi niko Na Kasinde wangu tunapendana. Alah! Kumbe Kasinde Ni Wa Yule mganga Wa dawa za mapenzi Tized Nilikua nimesahau!
Khantwe Njoo bby uwasalimie Shemeji zako!

Kabla sijaondoka mahari ulikua hujamaliza, vp umempa ile hela binti yangu?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom