I miss being in relationship


Sawa mshkaji
 
aisee...haya mambo sio mchezo.. Kuna muda ukaaa unawaza, ivi ningekuwa na MAWAZO hapa pembeni..ingekuwaje...Unamiss vitu adimu hadi roho inachukia....
 

Arif nani anazingua huyo!
 
Wanaume wa chips siku izi mnatutia aibu...Mtoto mzur amejieleza kwa mafumbo haja yake badala ya kumalizana naye kimya kimya mnamuacha anaendelea kujibu comment hapa......! Enz zangu mm....! I wish I could turn back the tym... Kwa kule upareni ukiacha embe dodo kama hili wazee wanakupa laana.
 
Kama hutaki kumbe ndo unataka hivyo, hope umeshampata
 
. Lilmashy
Unazingua,
funguka tu umemisi gegedo na unatafuta mtu wa kukukaza
 
Last edited by a moderator:

Haaha wazee wa kipare noma
 
Kwa hiyo bado uko single au vp subiri nije huko 2we double tuongee hujaiblock lkn
 

Pm me lilly am single too
 
Kwahiyo unataka mitongozo PM sio..!??
Hatudanganyiki.
 

I like the creativity. Good luck.

Ha ha ha ha ha ha......no brainer!
 
Honestly, natamani nikuone!

Sorry kua single haimaanishi umekosa mtu...pia yanaweza kua ni maamuzi..au pumziko la muda flani ukiniona live nafikiri utatengua kauli yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…