Google Diggers
JF-Expert Member
- Aug 29, 2015
- 940
- 1,123
Hapendi kuhack facebook account, maana ni dhambipoint yako ni nn chief
Hahahaha 😂 dah Asante bwa sheeeKwahivyo elimu yako haijakusaidia? Ama unataka kusema nini ndugu mhandisi uchwara.
Mkuu unapatikana kisiwani (zenji)??In short our home network is naturally vulnerable, which means the responsibility falls on ourselves, the end user, to keep an eye out for signs of suspicious activity and figure out what to do if your network is hacked. To me this serious jamani
Dhambi Mkuu
Mimi nilisoma Marekani.mambo ya kuhack ni uweze kucheza na programmes au apps zinazohusika na michezo hiyo.utundu pia muhimu ofcoz km mimi sijifii ila computer sijasomea zaid ya bro wangu aliesomea indonesia huko mambo ya engeneering kufika hadi kiwango akatengeneza kompyuta yake ndo alikuwa ananifundisha..ajabu yeye sasahivi ni TEJA amekata tamaa ya maisha lakini ni kichwa moja ya hatari hadi wazungu walimpa matuzo ya kutosha
Won't ??! I just can't do it.Its not that you can't, but you won't.....
Hayo Maneno yaana maana tofauti sana....
Mkuu kutengeneza Computer kunahitaji Degree ? Ukizingatia Computer ni Mkusanyiko wa parts tofauti ambazo unanunua off the shelf unaziunganisha huitaji kwenda shule...mambo ya kuhack ni uweze kucheza na programmes au apps zinazohusika na michezo hiyo.utundu pia muhimu ofcoz km mimi sijifii ila computer sijasomea zaid ya bro wangu aliesomea indonesia huko mambo ya engeneering kufika hadi kiwango akatengeneza kompyuta yake ndo alikuwa ananifundisha..ajabu yeye sasahivi ni TEJA amekata tamaa ya maisha lakini ni kichwa moja ya hatari hadi wazungu walimpa matuzo ya kutosha
Usijaribu kuomba ushauri namna ya kuhack simu ya bebe...utakufa uiache JF...Mkuu nitakufuata PM nataka faraga...
College au university gani?Mimi nilisoma Marekani.
Mkuu zile Stori zetu zimepotea naona.Huu uzi kuna mtu atapigwa