I luv her so much..

IamError_D

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2011
Posts
441
Reaction score
117
it z 7yrs i still luv her so much 4m mi heart but i don't know she luv me..
cna no yke na cjui alpo.. nfanyeje?
 
Nachokushauri muangalie kwenye facebook kama kajiunga au jaribu kuwatafta rafiki zake wa karibu ili uweze kupata mawasiliano yake changamka kijana usije ukampoteza , na kama ishindikana basi tafta mwingine utakayempenda usije kuumiza moyo wako bure kwa mtu uliyempoteza.
 
It's an easy thing. Saying I love you to people that matter. You never know when you might lose them, or when they might lose you.
 
it z 7yrs i still luv her so much 4m mi heart but i don't know she luv me..
cna no yke na cjui alpo.. nfanyeje?

Your very insecure .she loves you don't destroy that with your insecurity
 
tangaza redioni na kwenye TV.

Usisahau kusema 'zawadi nono itatolewa'
mbaya zaidi amemsahau jina!!labda angekuwa analikumbuka akaliweka hapa tungemsaidia!!sasa huko kwa redio na TV atawapa jina gani!!
 
me luv u 2. come this way............. mwaaaaah!
 
Hmmmmmm..funguka mliachana wapi,katika mazingira gani,mayb rafiki zake kama wapo..i min unawakumbuka majina umtafute kwenye hiyo facebook.
 
Kuna cku nikiwa naishi kwa shangazi mkoan atown wkt huo nko primary xul na kla wkiend uwa narud home.. kuna mcchana uwa anakuja kubuy maziwa moyo uldunda hadi kutokea kumpenda sana had nkafankiwa kulpata jina lake la mwanzo lakn la mwshon ckufankiwa... kuna wkt uwa anakuja mara 1 1 lakn mara nyng uwa anakuja mdogo wake au housegal...
 
REAL LOVE !!!
President of the world
:
REAL LOVE !!!
The most unfair game
:
REAL LOVE !!!
The prison hot than guantanamo
:
REAL LOVE !!!
Dream of many but seen by few
 
Kumbe kweli hata jina halijui
na sura atakuwa kamsahau nahisi.

mbaya zaidi amemsahau jina!!labda angekuwa analikumbuka akaliweka hapa tungemsaidia!!sasa huko kwa redio na TV atawapa jina gani!!
 
Na kwa style hii ya uandikaji! Sijui! Endelea mwaya, labda nae anakuchunuku tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…