I love you !!

Tetra

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
1,526
Reaction score
771
::
Ewe ndege mwema,
Kiumbe unaesifika,
Maneno yako ya mizani,
Upendo uso kifani,
Huna wa kuwa mfano,
Kwa uzuri wa moyo,
Ee Lisa
I can't stop my love for you
::
Chini ya mti wa upole
Upepo usio na kelele
Tajiri wa tabasamu,
Kicheko cha kutia hamu,
Ee Munkari
Upo mtani wangu?
::
Haiba ya upole na utu
Ulojawa utaratibu
Naekuthamini humu
Nisiechoka kukupa dua
Ee Blue G
Upo ma best?
::
Binti ulieko sayuni
Uimbae tenzi za rohoni
Sauti ipasuayo angani
Ee Zion Daughter
I miss you
::
Ewe shina la urafiki
Urafiki ujengao imani
Guso lenye thamani
Kukusahau si rahisi
Ee Kaunga
I miss you
::
Enyi muijengao JF
Bahari pana ya upendo
Chit chat na mmu
Familia yenye hekima
Nawasalimu kwa upendo
AMANI IWE NANYI !!
::
The Boss King'asti colg saudari watu8 Swts Purple Heaven on earth Arushaone Baba V Passion Lady KOKUTONA
Na kila mmoja
=
 
Last edited by a moderator:
Thanx u Tetra!!! Loh!! Nimeshindwa cha kusema wacha nimezeee !!!!:smile-big::smile-big:
 
jamani Tetra swahiba wangu furaha niliyonayo haina kifani na wala sijui niseme nini kuithibitisha jamani asante sana,shortlly am sssssssoooooo happy to hear from you afu i misssssseeeeed u a lott,jamani uilkuwa wapi weye???????????????????????
 
Last edited by a moderator:
jamani Tetra swahiba wangu furaha niliyonayo haina kifani na wala sijui niseme nini kuithibitisha jamani asante sana,shortlly am sssssssoooooo happy to hear from you afu i misssssseeeeed u a lott,jamani uilkuwa wapi weye???????????????????????

::
Nipo tu swaiba..mahangaiko ya hapa na pale yanatunyima muda wa kuchungulia huku.
I remember you
=
 
Last edited by a moderator:
Tetra tenzi zako zimetulia sana...
 
Last edited by a moderator:
::
Nipo tu swaiba..mahangaiko ya hapa na pale yanatunyima muda wa kuchungulia huku.
I remember you
=
me too jamani remember you a lot,karibu sana jukwaani aisee uwe basi unapita walau mara mojamoja.
 
Waohh! Thank you so much Tetra .Siku hizi kweli napotea potea.I miss you too.
 
Last edited by a moderator:
You are also missed my dear. Asante kwa kunithamini.
Uwe na blessed day.
 
hivi bestito ulipotelea wapi wewe? nimekukumbuka sana na nimekumiss ile mbaya
sikukuona mwenzio nilvyokuwa nimeandaa shindano la waimbaji matata wa cc?
wala sijakuona kwenye shindano la mtu mwenye mvuto wa sura mbaya?
ni wapi bestito ulipotelea? au ulikwenda kwenye KILIMO KWANZA?
Waohh! Thank you so much Tetra .Siku hizi kweli napotea potea.I miss you too.
 
i love you more...
more than my heartbeat:smile-big:
miss u Tetra
 
Last edited by a moderator:
baba hiyo inawahusu waliomentioniwa pale juu
wewe haikuhusuuu hata mie vilevile

sidhani kama inawahusu waliotajwa tu, na hata kama ingelikuwa inawahusu hao basi angalia tena kwa makini utaona kuna jina langu hapo juu....
 
Ohooo nimeliona daddy sorry
sidhani kama inawahusu waliotajwa tu, na hata kama ingelikuwa inawahusu hao basi angalia tena kwa makini utaona kuna jina langu hapo juu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…