Forest Hill
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 2,873
- 6,899
Kama kweli anakupenda akununulie Abaya,Hata hatujuani mwaya kaka yangu, mi nnachojua hizi ni chit chat
Si hata wifi anayo unaonaje ukimpa ampeeThat sweet thang nestled between the thighs
๐๐๐๐ La kuswalia eid?? Hatari sana, huyo alishaniambia atanipa ngโombe abaya kwake kitu kidogo sanaโa. Tajiri wa usukumani huyoKama kweli anakupenda akununulie Abaya,
Umeanza ukorofi, sasa ya wifi yako ndio ya lamomy?Si hata wifi anayo unaonaje ukimpa ampee
Kumbe mmeanzia mbali ngoja niwaache๐๐๐๐ La kuswalia eid?? Hatari sana, huyo alishaniambia atanipa ngโombe abaya kwake kitu kidogo sanaโa. Tajiri wa usukumani huyo
Nimeumia sana mtu kumtaka mpenz wangu Lamomy ๐๐Akikujibu nitag bro maswali mazuri sana umemuuliza..!!
Nitakutukana hebu niacheUmeanza ukorofi, sasa ya wifi yako ndio ya lamomy?
Alisema kwenye uzi wake wa kwanza, ndiomana nakwambia ukimtajia Abaya hashindwi!! ๐Kumbe mmeanzia mbali ngoja niwaache
Ctakiiii, tunataka ndoa, wee huogopiiii? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] udugu hebu tulia kwanza
Jirani mie wako muda mrefu tuu mbona๐. Au mpaka unizalie mapacha.Toka lini??!! Mbona ghafla sanaโa?!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee sema kweli.Alibakwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tukana tu ,wifi yako atafika hapo akutwange makofi.Nitakutukana hebu niache
Basi msukuma kajipanga,anachofeli kuandika bango,Ila si anakuvutia vutiaAlisema kwenye uzi wake wa kwanza, ndiomana nakwambia ukimtajia Abaya hashindwi!! ๐
๐๐๐ Ndoa za JF sizitaki udugu, ni mapicha picha na kusalitiana tyuuu!!Ctakiiii, tunataka ndoa, wee huogopiiii? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
๐๐๐ aaa wapi ebu njoo hapa kwenye hiki kibanda kimeandikwa toroka uje, upate juisi ya machungwa๐๐๐ ww umeshaliwa nauli tayari??
Una mapepo sio bure, mimi nna bwana wangu. Anaitwa Bwana wa MajeshiJirani mie wako muda mrefu tuu mbona๐. Au mpaka unizalie mapacha.
Thubutuu!! Ww na yy wote mtasimulia kichapo nitakachowapaTukana tu ,wifi yako atafika hapo akutwange makofi.
Anivutie hata namjua?? Mi mke wa mtu mume wangu yupo Korea kikaziBasi msukuma kajipanga,anachofeli kuandika bango,Ila si anakuvutia vutia