I feel good
JF-Expert Member
- Oct 21, 2016
- 1,246
- 1,996
Hakunaga mapenzi ndani ya JF. Upo tayari kureveal your Identity kisa mwanamke?? Moyo laini sana huo kwa mtoto wa kiume na udhaifu mkubwa sana.
Hakika.😀
si ndo hapo sasa
We muache 😂😂😂🤣🤣🤣🤣 Mpaka anyonywe damu ndio atatulia
Yaani nikiona mtu anakuletea za kuleta,ananikera Sanaaa😅😅Sisy Joa mtu wa maana sana😂
Akichat Lamomy, Gily na Joannah wanapotea. Akija Joannah, Lamomy na Gily wanapotea.....huyu ni mtu mmoja 😅😅😅 Unique FlowerNa ww unamsikiliza Analyse 😂😂😂
Ww kwa akili zako unaamini mimi naweza kuwa Joannah na Gil??
Huyo anachangamsha uzi
Kabisaa analia lia sana’a 😂😂😂Hatuwezi kumfundisha kila kitu
Acha wivu!Hata kama, sio that easy Jf, kwann asimfwate pm mpk aanzishe uzi? Huoni hiyo ni kama addiction?
😂😂😂😂 Acha kumchanganya da mau mwenzio katoka kupona juzi watu walimrogaAkichat Lamomy, Gily na Joannah wanapotea. Akija Joannah, Lamomy na Gily wanapotea.....huyu ni mtu mmoja 😅😅😅 Unique Flower
😂Yaani nikiona mtu anakuletea za kuleta,ananikera Sanaaa😅😅
Mshauri, Hashki ni jambo baya sana hakikisha unakua mwepesi muda wote itakusaidia kuondokana na shobo, kudharirika na kupigwa mizinga hovyo.Ngoja limnyonye shahawa ndio atulie😁
sijapenda yani hapo ndo kamaliza na anategemea umuelewe.
Sikukuu ameshindwa hata kuuliza bata na soda alete wapi?![]()



