I Love you too much Lamomy

Haitawezekana kabisa Nina standard zangu kwa kila jambo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Standard zako kina suzy bale, tuache utani Manyanza nani akutake wewe kwa mfano?? Mtu mwenyewe spana mkononi, muda wote kagonjwa gonjwa unabadilisha hospital kila siku, una unyafuzi. 🀣🀣🀣🀣
Na ile miwani yako km rango
 
Ah wapi.. hayo ya vijana, mm na age hii siwez kuwa na hizo. Although, sijakuwa attentive sana na kufatilia fatilia au kupenda kudet na wanawake wengi.

Yani kwa ufupi mm ni husband material πŸ˜…
Sema kweli❗
 
Leo Nina mpango wa kulewaaa,hapa naifosi simu iishe chaji kabisaaa na bundle nisije nikamwaga Siri humu😁😁😁
Mlevi hajitangazii Sister wacha kutupoteza maboya πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…