I love you sweet baby no matter what!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

I love you sweet baby no matter what!!!!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mzalendo wa ukweli, Oct 22, 2012.

 1. Mzalendo wa ukweli

  Mzalendo wa ukweli JF-Expert Member

  #1
  Oct 22, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 562
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mahusiano yana changamoto zake na kila siku mnakutana na changamoto za aina tofauti tofauti. Na ili uhusiano uweze kuimarika na kuwa strong ni lazima upitie ups and downs na during this time ni wakati mzuri wa kumsoma mwenzi wako na kumjua vizuri zaidi when things are not going the right way, kama ni mkali utajua tu na kama ni mvumilivu pia utajua na hata kama ni mgomvi pia utajua.
  Haiwezekani ndani ya siku 365 ikawa ni mteremko tu katika mapenzi ya wawili wapendanao ni lazima kuna siku things will not go that much easy kama mlivyozoea. Kipindi kama hiki si cha kuogopa as its neccessary kupitia so that the love you have for each other iwe tested na kuimarika after that storm is over.
  Nasema haya kwa sababu nimepitia hizi changamoto mimi na mpenzi wangu.....na ndo maana nimeandika hii thread ikiwa ni kama shule kwetu mimi na yeye na hata wengine ambao pia mapenzi yenu yanapitia kipindi cha mpito. All in all, I love you sweet baby no matter what!!!!!!!!
   
Loading...