wanaume wa jf,wanapenda sana kutongoza.usipokuwa makini,utajikuta unajisahau na unaingia kimapenzi,wao kwao ni fiction tu.pole sana,kuna mmoja humu alishawahi kulalamika.iwe fundisho jamani,wengi wao humu wana wapenzi wao nje.usikubali hata siku moja,maana kisukari kama mimi,nikimpenda mtu,huwa napenda kweli kweli.ila kwa jf sithubutu.leo atatongoza humu,anaangalia upepo,pengine kesho atatongozwa mwengine face book.akikuchoka wewe,atatafuta mwengine tena.jamani muwe makini.humu jf,sitokutana na yeyote yule.nikiwa na stress zangu,naingia jukwaa lile la private,nafurahisha genge,na sign off najiendea zangu kazini
Na wanawake wa JF vipi, wao hawapendi kutongozwa?
Hata wanawake wa JF nao hivyo hivyo. Wengi wao ni wasanii tu na watu tuna first hand experience ya usanii wao. Kwa hiyo mpaka hapo ni ngoma droo.
Hata wanawake wa JF nao hivyo hivyo. Wengi wao wana wapenzi wao nje lakini humu wanajifanya wako singo.
Hata mimi Ngabu, yaani mimi kama mimi, nikimpemda mwanamke huwa nampenda kweli kweli.
Kusema kweli hata mimi nimekoma. So far nimeambulia patupu. Yaani full usanii. Najuta kuwajua hao niliowajua.
Kweli kabisa. Unakutana na mdada humu unadhani wewe kwake uko peke yako. Kumbe hapa hapa JF mko wengi. Anajitongozesha kwako leo, Facebook anajitongozesha kwa The Boss, Skype yuko na The Finest...akirudi kwako anamuua mmoja wao kati ya hao. Anakusimulia yote kuhusu huyo mtu. Oh yuko hivi, yuko vile. Akitoka kwako anarudi kwa The Boss. Huko anaanza kutiririka kuhusu wewe sasa. Utasikia...'ah yule Ngabu michosho sana. Anajifanya much know sana, anaringa sana, anajifanya eti handsome, n.k.
Huu ushauri mzuri sana na unahusika kwa jinsia zote. Kuweni makini jamani.
Hata mimi nimejifunza hilo. Nimekutana na wanawake wasanii sijapata kuona. Chondechonde akina kaka wenzangu. Kuweni waangalifu na hawa wadada wa humu.
Wewe kweli ni mhudhuriaji na mchangiaji mzuri sana kule.
he he he! kwani mli-do?kama alikua hanipendi why he went to far like that with me
bora asijaribu mana ataishia kutuma picha na kuumbuka kama mimi ..mana hapa nabakia najiuliza hajanipenda..mimi mbaya sana ama ni kitu gani jamani
he he he! kwani mli-do?