I love u but i have no feeling with you

I love u but i have no feeling with you

ukweli hakupendi kabisaaa.. ila alikuja mtwara kuangalia una nini ili ajiweke hapo , kwa hiyo vitu ndiyo vingemshiaka ila kwa kuwa hakupendi na akakutana na huna chochote kapuku tu ,, akaona azuge hana hisia ... HUPENDWI NA KAMA UNAMTAKA TAFUTA HELA UTAMUWEKA NYAVUNI
Weeeeeeee sio mchezo,bonge la mtaalamu miss Chagga,kama kichwa unacho,maana umegonga palepale.Yaani ngoma imetoka Shinyanga mpaka Mtwara,safari ndefu sana sio mchezo,demu alikuja akiwa na picha ya jamaa ana maisha bab kuubwa,akijiambia jamaa ni matawi fulani ya good time,ile kutua Mtwara anamkuta jamaa kavaa yeboyebo na mkanda wa suruali wa kuunga,ile kupelekwa nyumbani sasa ndio balaa,chumba cha kupanga uani,kiti cha marimba,kitanda segemnege,hapo sasa atafanya visa mpaka jamaa amsafirishe kurudi Shinyanga,anyway simlaumu huyo bro sababu huyo mwanamke hafai kabisa tena nyoka mwenye vichwa viwili.
 
Ngoshaa open ur mind brooo don't act childish toka huko unyantuzuni mpaka ntwara alafuuu anakupa story may be anafanya study tua mpotezeee
 
1470239876563.jpg
 
Mkuu mkalishe chini muombe kwa Mara ya mwisho akikupa bamiza mpaka 0713 halafu MPE nauli arudi alikotoka watu kama hao sio wa kulea kabisa yani alikuona kinyesi kipindi hicho ukamsamehe halafu bado unaendelea kumfuga
 
ukweli hakupendi kabisaaa.. ila alikuja mtwara kuangalia una nini ili ajiweke hapo , kwa hiyo vitu ndiyo vingemshiaka ila kwa kuwa hakupendi na akakutana na huna chochote kapuku tu ,, akaona azuge hana hisia ... HUPENDWI NA KAMA UNAMTAKA TAFUTA HELA UTAMUWEKA NYAVUNI
miss chagga
 
Mkuu mkalishe chini muombe kwa Mara ya mwisho akikupa bamiza mpaka 0713 halafu MPE nauli arudi alikotoka watu kama hao sio wa kulea kabisa yani alikuona kinyesi kipindi hicho ukamsamehe halafu bado unaendelea kumfuga
Kwene uzi mbona hajaelezea habari za kukosana wala kusameheana afu wenye hasira wa namna hii pesa yao ni ya tabu sana ndo maana umepata hasira kiasi iko
 
Dada kakutana na ndivyo sivyo kwene mategemeo yake jaman labda ungetuelezea vizuri umejipangaje na alivokuta ujajipanga ata na hisia akuna tenaaa
 
huna gari! chumba chenyewe kimoja!...hujielewi ..mavaz hayavutii!..mmmm kwa kwwli hapana narud shy...nkaolewe tu na huyo huyo!
 
Weeeeeeee sio mchezo,bonge la mtaalamu miss Chagga,kama kichwa unacho,maana umegonga palepale.Yaani ngoma imetoka Shinyanga mpaka Mtwara,safari ndefu sana sio mchezo,demu alikuja akiwa na picha ya jamaa ana maisha bab kuubwa,akijiambia jamaa ni matawi fulani ya good time,ile kutua Mtwara anamkuta jamaa kavaa yeboyebo na mkanda wa suruali wa kuunga,ile kupelekwa nyumbani sasa ndio balaa,chumba cha kupanga uani,kiti cha marimba,kitanda segemnege,hapo sasa atafanya visa mpaka jamaa amsafirishe kurudi Shinyanga,anyway simlaumu huyo bro sababu huyo mwanamke hafai kabisa tena nyoka mwenye vichwa viwili.
hata mi simlaumu ila kama anataka kumganda huyo demu atafute pesa
 
Maadam nauli aliyotumia kuja huko Mtwara ni yako na pesa ya kula njian ulimtumia...Pakulala, pakula amepata na ana uhakika lazima umpe nauli arudi kwao plus pocket money...Demu kaamua kufanya utalii wa ndani bila gharama zozote...Swali linabaki kwako utarudishanje hizo gharama zako zote ulizozitumia? Kuna wanawake wengine huwa hawawezi sema piga mzigo hadi ulazimishe na ukila siku ya kwanza kesho yake hatokubali ila hatolala na nguo ndani...Utajua wewe..
 
Hello MMU members,

Mwenzenu nimekuja hapa mbele yenu kuomba ushauri sababu nipo njia panda sijui nifanyeje nahisi maoni na mawazo yenu yanaweza kuniondoa au kunisaidia kwenye huu mkwamo.

Awali ya yote mimi naishi Mtwara kwa sasa ndipo napofanyia kazi lakini origin yangu ni Shinyanga, nilitokea kumpenda binti mmoja miaka kama kumi iliyopita by then tulikuwa sekondari na nilikuwa namtangulia madarasa kadhaa sikuweza fanikiwa kuwa naye kwa kipindi kile sababu alikataa kuwa kwenye mahusiano.

Kweli niliumia sana kwa kukataliwa ombi langu but still niliendelea kumpenda na alinivutia kila nilipokutana naye kwenye makorido ya shule. Baadae kila mtu aliendelea na mishe zake za shule tukawa tumepotezana na bad enough sikuweza kuwa na mawasiliano yake.

But daima nilimkumbuka sana na pamoja na miaka mingi kupita still nilimpenda na nilimuwaza ijapokuwa hatuonani na nilijua yeye hakunipenda. Facebook zilipokuja nilijaribu kumtafuta but sikufanikiwa coz majina niliyokuwa naandika zinatokea sura za watu wengine but miezi kama minne iliyopita niliona sura yake FB na alikuwa anatumia jina jingine nilimwomba urafiki akakubali.

Tulifanya chatting kuulizana tulipo na hali zetu za maisha in general yeye alinambia yupo kwao Shinyanga na baadae tukaamia wasap nikaanza kupasha tena kiporo, kipindi hiki hakukataa alikubari moja kwa moja na alionekana yuko very concerned na mimi.

Nilijaribu kumwuliza mahusiano yake yaliyopita but alinambia hayuko kwenye good terms na huyo mtu wake although wako wote kwenye mahusiano kwa muda wa miaka mitano hivyo alinambia nikimhakikishia nampenda ataquit coz nilimpenda kutoka moyoni nilimwambia she can do so but afanye handover ya kueleweka kwa mtu wake hasije akamsumbua.

Alikubali na alienda kumwambia huyo jamaa kuwa ameamua kuachana naye na amepumzika from relationship but jamaa aliwaka na alikataa kata kata kwamba huyu hawezi kumpotezea muda kiasi hicho na alishachezwa machale ya kunyang’anywa tonge mdomoni. Jamaa nasikia alibembeleza but huyu msichana alikataa kurudi na alisisitiza msimamo wake wa kutaka kuishi singo. But inaonekana jamaa alishachezwa na machale kabla coz muda mwingi nilimkeep bize sana huyu mdada kwenye maongezi ya simu.

Tuliendelea kuongea na tukakubaliana nimtumie nauli aje hapa Mtwara ili tujuane zaidi msichana huyo bila ajizi alikubali na mimi nilituma nauli. Alifanya arrangement na akaweza kufika huku Mtwara ninakoishi nilifurahi sana kuonana naye nilimhug na kukiss I was so happy ki ukweli coz nilijua ndoto yangu ya kuwa na huyu binti inaelekea kutimia.

Taratibu zote za kupokea wageni hasa wapenzi nadhani zinajulikana but huyu dada hakuonekana kunisupport nikajua may be amechoka na safari ngoja kwanza apumzike but siku iliyofuatia nilipojalibu alikataa na alinambia anajihisi kunipenda that’ Y katoka kule alipotoka but hana feelings kabisa za kufanya nilijaribu kumrudisha but alisema hajisikii kabisa. Nimejaribu kumwuliza but hajui na anasema ananipenda sana na nimvumilie hadi pale hali yake itakapotengamaa, binafsi nimemwelewa but nina maswali najiuliza.

Je kipi kimempata, Is it psychological problem or spiritual problem? Au bado mahusiano yake ya nyuma yanamsumbua kiasi kwamba anajifeel guilted kuwa na mtu mwingine?

Je ni kweli ananipenda au ndo hivo ananifariji? But me nampenda sana?
Je atakuwa amejiadaa kuwa hampendi huyo jamaa kumbe still feeling kaziacha?

Je nifanye nini kumsaidia na mimi kujisaidia pia. She loves me but she has no feeling with me?


Hapo inasababishwa na mazoea unajua huwez sex na mtu ambaye hamna ile romantic bond kunakuwa kauoga flani ivi so hadi mzoeane ndo unakuwa free, jenga mazoea nae mdekeze'dekeze izo feelings zinakuja tu automatic.
 
bado anajiskia mwenye hatia
unapokua na mwanaume mmoja kwa muda mrefu
bila kubadilisha...
mkija kuachana inakua ngumu sana kuanza kusex na mwanaume mwingine kwa sababu unajiona bado kama umemkosea yule mtu ..unakua bado na memories nyingi kuhusu yeye/ulimzoea
pia huyo bwana bado ana lalamika kua anampenda

kwahiyo mwache kwanza msubirie akiwa ok
mtayajenga ,hapo alipo bado hajajiamini
mguu nje mguu ndani...
 
Back
Top Bottom