Masikini_Jeuri
JF-Expert Member
- Jan 19, 2010
- 6,827
- 1,314
ununue gari kwa kwa zero point billion ushindwe kumudu consumption capacity duuh,kanunue vits ule ac
Nice dreams, nawaaminia nyie mabinti mkiamua mnaweza kam alivyoweza binti Makamba! But, are you aware of its fuel consumption capacity? That SUV guzzles fuel the way cows gulps water at the river: 1liter per three km, will you afford if you'd use it daily to and from the office?
Kaliua urambo said:utaishia kuukwaa tu na usipaipate
Masikini_Jeuri said:Mwambie ukweli kaliua , mwenyezi Mungua liyekupa uwezo wa kulimiliki gari kama hili atakuonyesha na na nyenzo za kuyapata mafuta asa sijui hii inaaplly vipi kwa atakayelipata kwa kuchuna mabuzi....................thinking out loudly!<!-- google_ad_section_end -->
Yaaani wabongo, mbona mnakatishana tamaa hivi hivi...mnajua status yangu mpaka mnijudge kama naweza kuafford or not, so does any lady outthere, who is classy is CHANGUDUO. Acheni hiyo mawazo ya kukosa
Let me remind this song for you, I think I can, be wanna what I wanna if I work hard on it, I'll be where I wanna be. So I don't take, any of your bullshit, hater !
Call it bullshit.....you clearly indicated the means you will apply..............so don't get hot from our judgement we are just pointing out! and Don't act as if you are being vindicated .....which you aren't!
nimeipenda hii dr....kwani ipo bei gani......?
Mimi yangu hii inanitosha sihitaji Diesel wala Petroli...
So in your conclusion, kuchuna mtu ni kujiuza tu? Still naweza kumchuna mume wangu and fyi I am no muke ya mdhungu. Mkuu inaelekea kuwa wewe una hasira sana na maisha, probably yamekupiga chenga. Oooh nimesahau, the name says it all, utakufa kwa kihoro.
So in your conclusion, kuchuna mtu ni kujiuza tu? Still naweza kumchuna mume wangu and fyi I am no muke ya mdhungu. Mkuu inaelekea kuwa wewe una hasira sana na maisha, probably yamekupiga chenga. Oooh nimesahau, the name says it all, utakufa kwa kihoro.
Iko poa... BMW for life! πoa
Yaani hapo ni additional maana unakuwa unafanya na mazoezi pia...Ila utahitaji nguvu zako tu@ The Finest
Dah!!! Njiwa umenitamanisha sana hiki kitu GIANT cha ukweli aiseee....πoa..nimependa tairi zake nene haswa..mi napenda baskeli lakini iwe brand ya giant sio Phonex .... nilinunuwa Giant 3 years ago mkasi kidogo ... kama hii picha chini lakini WHITE ...! Naipenda Saaaana