lamekiAgustino
JF-Expert Member
- Feb 4, 2024
- 340
- 1,018
Mi nakupenda wewe tu humu ndaniWewe Penseli Kila mtu unasema unampenda,,.. Ila kwa Dr Lizzy baraka zangu zote umepata
Ngoja tumuite rafiki yakeWewe Penseli Kila mtu unasema unampenda,,.. Ila kwa Dr Lizzy baraka zangu zote umepata
Tatizo deadline ilikua Jana😃Mi nakupenda wewe tu humu ndani
Kwenye mtihan kuna dakika za nyongeza hata kwenye mpira kuna extra timeTatizo deadline ilikua Jana😃
Haya ngoja niongeza Hadi sa6 kamili leoKwenye mtihan kuna dakika za nyongeza hata kwenye mpira kuna extra time
Hahahahahaha..tusiokuwa na mademu hata wa kusingiziwq tupo wengi na tuko humu since JF 2010Maghayo yeye akila bange anarizika hana shobo wala hashobokewi na mademu wa Jf ,joined since 2014 hana hata demu wa kusingiziwa humu..
Nakazia😅😅Sisi kama madada tunaomba uandike kwa Id yako kongwe ndio tutoe majibu 😂
Hahahahahaha...Sisi kama madada tunaomba uandike kwa Id yako kongwe ndio tutoe majibu 😂
Ukute alishammiminia maneno ya kashfa huko 😂Sisi kama madada tunaomba uandike kwa Id yako kongwe ndio tutoe majibu 😂
Tatizo hutaki ku activate the channel mambo yote hadharan upande wa pilHaya ngoja niongeza Hadi sa6 kamili leo